Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Nikuulize, umeona wakijali?

Mahakama imeamua nini kesi ya wale wabunge wa viti maalumu CUF waliofukuzwa na kupoteza ubunge wao? Nini kimefanyika hata sasa?
 
Naona makonda anasoma taratbu hizi comment haf ana I.d zaid ya moja makonda usntafute baba bado nategemewa
 
Ebu muandika manda hii funguka usitumia confindational je una maanisha Mbunge aliekuwepo kujihudhulu kwake imetumika pesa au mapesa kumshawishi eleweka usitumie mafumbo Huyo Mzee unaemsema ninani?Kama kuna evidence-based unaweza kuisaidia TAKUKURU kulithibisha Hilo ?kama Nikweli hizi sio Siasa ni tamaa na uchafu ndani ya Siasa ,Mimi siliamini mwenye Maelezo yasio tia shaka athibitishie Watu wa Kinondoni na Watanzania kwa ujumla Nakama ni uzushi Vyombo vya Dola fanyeni Kazi yenu
 
Kama ushahidi wa kule Arusha na Arumeru umewekwa kapuni itakuwa huu wa Kinondoni?
 
Kule arusha walikili kuwanunua mkaishia kuwapandisha vyeo, au mnataka mfanye hivyo hivyo.
 
CHADEMA lini mtaacha Michezo hii ya kitoto?
Utata wa jina la Paul Makonda mmeshindwa hata kwenda mahakamani, zaidi ya kutumia pesa nyingi kulipa mamluki mitandaoni. mmepiga kelele nyingi hadi mnatia huruma. Kama issue ya kufoji cheti Kama mnavyosema imewashinda kipi mtaweza? Serikali ya JPM sasa hivi inapiga kazi tuu ngonjera za utabiri Kama huu wamewaachia nyie wanasiasa uchwara, mnaofikiri siasa inaendeshwa kwa udaku na umbeya!
Hivi CCM wakiamua kulipa mamluki wa kupiga longolongo mitandaoni Kama nyie hamuoni ndiyo itakuwa kiama chenu? Ukizingatia makubwa waliyonayo ya kuwanadi bila mipaka!
 

Povu la nini? alipoambiwa atoe cheti kwa nini alimwaga chozi kanisani?
 
Sidhani kama panaweza fanyika blanda kubwa hivyo
 
Mmh ka kuna ukweli katika hili ni noumaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…