Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

Status
Not open for further replies.
Rais angekuwa mkristi si ndio mngeongea mpaka basi
 

Wewe na wale waliochangia kwa aina yako hawaelewi kitu.

Islamic Knowledge inasaidia kama mtu anataka kusomea "Sharia" - kaulize.

Pengine ni mkakati wa kupunguza wajuvi wa Sharia ili vitu kama mahakama ya Kadhi viendelee kua ndoto.

Ila tu kwa msioamini hii issue mtakuja kuamini tu. Chanzo changu cha habari kinasema huenda matokeo yaliyochakachuliwa yakakarekebishwa kwenye internet. Yaani kukawa na matokeo tofauti kati ya Vitabuni na Internet.

Msioamini nawaambia kua LAKUM DIN KUM WALIYA DIN
 
Binadamu tunapenda kuchukia kitu tusichokijua,lakini kwa hakika, haki,haitangamani na batili! Mungu anajua..
 
Kaka hujaelewa mchezo ulivyoenda.
Masheikh walisahihisha wakaenda zao,
Kazi ya ku- compile ni ya NECTA, na hapo ndipo mchezo ulipochezeka!!

una uhakika na unacho kinena?!
 
Mod ambaye upo zamu tuondolee huu UTUMBO hapa...unaleta nzi
 


viongozi wote zanzibar ni waislam, viongozi wakuu wa bara waislam kuanzia rais jk,makam wake n.k lakini bado mnaongea hivyo je viongozi wangekuwa wakristu ingekuwaje?mbona mnawasahau wapagani?wasabato n.k
 

Habari mkuu,
Tazama wekundu huo..
Baraza la mitihani sio mtu mmoja na ninaamin kuna watu wa dini zote kuanzia kwenye utungaji wa mitihani, usahihishaji, ujumuishaji wa maksi na utoaji wa matokeo, kwa hiyo kama ni kweli (kitu ambacho nina mashaka nacho) basi elewa hata nyie wenyewe mmesalitiana. Lakini pia tujiulize kwa lipi hasa hadi watu waamue kuchakachua Islamic Knowledge au hata Bible Knowledge?!
Umesema mkakati umekwama matokeo yakiwa yametoka halafu ukasema watapewa upya matokeo yao?! mbona sielewi hapa!? Hii ina maana matokeo yao hayajatoka! Ina maana baraza siku hizi linatoa matokeo kwa mafungu?! Hebu kajipange tena...
Ningependa kukuuliza swali, ina maana kwako matokeo ya somo fulani yakitoka bila kuwa na A 'nyingi' maana yake yamehujumiwa?!
Sitaki kumhukumu mtu ila naona mwenzetu una matatizo!
 
Kama ni kweli ni jmabo baya na la kusikitisha sana. Lakini najiuliza wanawafelisha ili iweje? Sipatai jibu na hivyo kubaki na mashaka na habari hii. Ina maana NECTA ina dini siku hizi?
 
Jamani, what is it to do with medicine,engineering, law or sociology? nani anayesahihisha mitihani hiyo ya dini? Mbona watu tunapenda uzushi? Tunataka kuiharibu Tanzania kwa udini! Ila kabla haijaharibika,walioanzisha mchakato watakuwa wa kwanza kwenda zao na maji
 
Dini ya kiislamu ni nzuri sana, lakini baadhi ya waumini wake wanaidhalilisha na kuishusha hadhi! (No conflict of interest, kwa kuwa mimi si muumini wa dini yoyote)
 
Swali la kizushi. Islamic knowledge inasahishwa na mapadre na wachungaji?

hapo chacha umemkamata vizuri kweli!
najua mimi wanaosahihisha ni wenyewe wafundisha somo mashehe!
 
Binadamu tunapenda kuchukia kitu tusichokijua,lakini kwa hakika, haki,haitangamani na batili! Mungu anajua..
Wao wamezoea kuchanganya haki na batili ! Ndo maana wako bize kuziharibu ishara ! Wana uwezo mpaka wa kufuta 'maneno' ya Mwenyezi Mungu wakaweka yakwao !.
 
Power ya dunia tuliyonayo will never come from emotions!
 
Hivi mbona nyie mnapenda sana kulalamika kila wakati!? Kila kitu nyie ndio kihelehele kuona mnaonewa! Hayo matokeo si washehe wenu ndio wanashahihisha au wachungaji!? Acheni utoto nyie!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…