Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

Status
Not open for further replies.
None sense! What NECTA want to do with Islamic study!? What the value of Divinity and Islamic knoweledge to higher learning if that is your dought!? This is none sense!
 
Habari ambazo nimezipata kutoka katika Chanzo nachokiamini ambacho kina uhusiano na Baraza la Mitihani (NECTA) ni kua ulikuwepo mkakati wa kuwafelisha wanafunzi wa Form six waliofanya somo la ISLAMIC KNOWLEDGE ambao matokeo yao yametoka hivi karibuni lakin mkakati huo UMEKWAMA.

Kukwama huko kwa mkakati huo kunakuja huku matokeo yakiwa yashatoka, na kuna habari kua kwa mara ya kwanza katika historia ya Board, wanafunzi hao wa kiislam watapewa upya matokeo yao badala ya yale ya awali ambayo iligunduliwa "yamechakachuliwa"

Uchakachuaji huo umekuja kwenye somo la "Islamic Knowledge" ambalo kawaida hua Lina "paper" 2.

Kuna tetesi kua Katika usahihishaji wa somo hilo, uchakachuzi umefanyika kwa kujumlisha paper zote mbili lakin "wastani" ukapatikana kwa kuchukua jumla ya alama na "kugawa kwa 3" jambo ambalo limepelekea wastani uwe mdogo kuliko uhalisia.

Hii imekuja baada ya kutopatikana angalau A moja tu.

Simply ukipata 80 na 82 wastani utakuja 81 tu.
But kama jumla (162) inagawanywa kwa 3 badala ya 2 ni wazi kua wastani utashuka kua 54 badala ya 81 (27 less).
kwani wanaosahihisaha hio mitihan ya dini ya kiislamu ni wakristo?
 
Kama hakuna ushaidi ningependekeza Mods wampatie huyu muanzisha hii thread BAN iliyoenda shule
 
Kama haya ni ya kweli,kwa ujumla sio sahihi. Ila niwashauri wanafunzi watumie mitihani hii kuwajenga kiimani na kimaadili zaidi.Zaidi ya kubadlisha division utakayopata form 6,islamic na divinity hazina effects zozote katika elimu ya juu. Unless mtu anataka kuwa kiongozi wa dini husika.
 
wewe umewai kunisababishia Ban,nakuepuka sana tena kwa mada zako kama hizi
 
Kwahiyo NECTA ni mapadre na wachungaji tu wapo?
Kaka hujaelewa mchezo ulivyoenda.
Masheikh walisahihisha wakaenda zao,
Kazi ya ku- compile ni ya NECTA, na hapo ndipo mchezo ulipochezeka!!
 
Huu mtindo ulioibuka wa watu wazima kuwatetea watoto wanaofeli kwa kisingizio cha dini utaharibu kizazi kizima. Shule zilizo chini ya taasisi za kiislam zina matatizo ya msingi sana lakini hata kuongea nje mipaka ya shule inakuwa shida . Kama tunataka kweli kusaidia hawa watoto, ni lazima tukubali, tatizo liliko kwenye shule nyingi za taasisi za kiislam linafanana sana na shule za kata. Hakuna walimu, wana wale waliopo wana uwezo mdogo. Maslahi kwa waalim ni madogo hivyo walimu wenye uwezo wanazikimbia hizi shule.

Kulia lia na mitihani ni kuungamiza future ya hawa watoto. Soko la ajira limejaa ushindani, watapateje ajira kama uwezo wao ni mdogo?
 
Wekeni argument za kisomi huku sio habari za udaku au kama vipi toa chanzo cha habari hii kama hamna basi usidanganye watu na ku-create tension zisizo na maana
 
Acha ujinga weweee!! kwa maana hiyo hao NECTA ni wakristo wote? Hao waislamu wenu huo mtihani wa Islamic wataenda kusomea katika chuo gani kinachoangalia performance ya Islamic?. Halafu baadae mnalalamika mnaonewa kumbe ni uvivu wa kufikiri unawasumbua.
Wewe umewahi kufikiria hata siku moja !? Yakuwa Mungu alipata kuwa mtoto akajifunza kusema maji ni 'mmaah !'
 
Too much imagination!!!Sijui tutawasaidiaje hawa ndugu zetu :help:
 
None sense! What NECTA want to do with Islamic study!? What the value of Divinity and Islamic knoweledge to higher learning if that is your dought!? This is none sense!

And none of these subjects count in admissions to higher education! What is the worry now?

But my Islams friends, when you discriminate yourself the society will do just that to you! When you brandish yourself in a unique attire amidst several other beliefs but pursuing same mission like university education, you only telling the others that you are different and you need to be treated differently! The reason tribalism disappeared in Tanzania was mainly due to the fact we ignored its existence and insisted on Swahili as common language- but the tribes did not die, they are there and custoums are flourishing! I do not see reasons for showing off as means of upholding ones beliefs in the Almighty God!
 
Sioni kama ipo haja ya kumfelisha mtu ambaye kishafeli tayari.

Haya ni maneno ya kujustify kufeli kwenu. Waislamu waislamu, yani mnaamini kuna mtu anaweza kupoteza muda wake kuwahujumu as if ni kundi kuubwa lenye elimu kiasi cha kutengeneza public consideration! Unaumwa kichwa wewe sio bure
 
Acha upotoshaji wa kihuni huo, nani hasa anayefanya hizo hujuma??? Kisha ili iweje? Hufikiri kuwa huo upotoshaji wako utawafanya vijana wa kiislam wasiweke juhudi katika kusoma wakiamini hawatafika popote kwa kudhani watahujumiwa!!

Habari ambazo nimezipata kutoka katika Chanzo nachokiamini ambacho kina uhusiano na Baraza la Mitihani (NECTA) ni kua ulikuwepo mkakati wa kuwafelisha wanafunzi wa Form six waliofanya somo la ISLAMIC KNOWLEDGE ambao matokeo yao yametoka hivi karibuni lakin mkakati huo UMEKWAMA.

Kukwama huko kwa mkakati huo kunakuja huku matokeo yakiwa yashatoka, na kuna habari kua kwa mara ya kwanza katika historia ya Board, wanafunzi hao wa kiislam watapewa upya matokeo yao badala ya yale ya awali ambayo iligunduliwa "yamechakachuliwa"

Uchakachuaji huo umekuja kwenye somo la "Islamic Knowledge" ambalo kawaida hua Lina "paper" 2.

Kuna tetesi kua Katika usahihishaji wa somo hilo, uchakachuzi umefanyika kwa kujumlisha paper zote mbili lakin "wastani" ukapatikana kwa kuchukua jumla ya alama na "kugawa kwa 3" jambo ambalo limepelekea wastani uwe mdogo kuliko uhalisia.

Hii imekuja baada ya kutopatikana angalau A moja tu.

Simply ukipata 80 na 82 wastani utakuja 81 tu.
But kama jumla (162) inagawanywa kwa 3 badala ya 2 ni wazi kua wastani utashuka kua 54 badala ya 81 (27 less).
 
Sioni kama ipo haja ya kumfelisha mtu ambaye kishafeli tayari.

Haya ni maneno ya kujustify kufeli kwenu. Waislamu waislamu, yani mnaamini kuna mtu anaweza kupoteza muda wake kuwahujumu as if ni kundi kuubwa lenye elimu kiasi cha kutengeneza public consideration! Unaumwa kichwa wewe sio bure
Wewe unawakilisha kundi gani kuuuuubwa lenye elimu, nyie watu mliosomeshwa kwa pesa za magudulia ya pombe na nyamafu, udhalimu ndio kazi yenu ! Mwana haramu atabakia kuwa haramu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom