Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
None sense! What NECTA want to do with Islamic study!? What the value of Divinity and Islamic knoweledge to higher learning if that is your dought!? This is none sense!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka hujaelewa mchezo ulivyoenda.
Masheikh walisahihisha wakaenda zao,
Kazi ya ku- compile ni ya NECTA, na hapo ndipo mchezo ulipochezeka!!
kwani wanaosahihisaha hio mitihan ya dini ya kiislamu ni wakristo?Habari ambazo nimezipata kutoka katika Chanzo nachokiamini ambacho kina uhusiano na Baraza la Mitihani (NECTA) ni kua ulikuwepo mkakati wa kuwafelisha wanafunzi wa Form six waliofanya somo la ISLAMIC KNOWLEDGE ambao matokeo yao yametoka hivi karibuni lakin mkakati huo UMEKWAMA.
Kukwama huko kwa mkakati huo kunakuja huku matokeo yakiwa yashatoka, na kuna habari kua kwa mara ya kwanza katika historia ya Board, wanafunzi hao wa kiislam watapewa upya matokeo yao badala ya yale ya awali ambayo iligunduliwa "yamechakachuliwa"
Uchakachuaji huo umekuja kwenye somo la "Islamic Knowledge" ambalo kawaida hua Lina "paper" 2.
Kuna tetesi kua Katika usahihishaji wa somo hilo, uchakachuzi umefanyika kwa kujumlisha paper zote mbili lakin "wastani" ukapatikana kwa kuchukua jumla ya alama na "kugawa kwa 3" jambo ambalo limepelekea wastani uwe mdogo kuliko uhalisia.
Hii imekuja baada ya kutopatikana angalau A moja tu.
Simply ukipata 80 na 82 wastani utakuja 81 tu.
But kama jumla (162) inagawanywa kwa 3 badala ya 2 ni wazi kua wastani utashuka kua 54 badala ya 81 (27 less).
Kaka hujaelewa mchezo ulivyoenda.
Masheikh walisahihisha wakaenda zao,
Kazi ya ku- compile ni ya NECTA, na hapo ndipo mchezo ulipochezeka!!
Wewe umewahi kufikiria hata siku moja !? Yakuwa Mungu alipata kuwa mtoto akajifunza kusema maji ni 'mmaah !'Acha ujinga weweee!! kwa maana hiyo hao NECTA ni wakristo wote? Hao waislamu wenu huo mtihani wa Islamic wataenda kusomea katika chuo gani kinachoangalia performance ya Islamic?. Halafu baadae mnalalamika mnaonewa kumbe ni uvivu wa kufikiri unawasumbua.
Too much imagination!!!Sijui tutawasaidiaje hawa ndugu zetu :help:
None sense! What NECTA want to do with Islamic study!? What the value of Divinity and Islamic knoweledge to higher learning if that is your dought!? This is none sense!
Habari ambazo nimezipata kutoka katika Chanzo nachokiamini ambacho kina uhusiano na Baraza la Mitihani (NECTA) ni kua ulikuwepo mkakati wa kuwafelisha wanafunzi wa Form six waliofanya somo la ISLAMIC KNOWLEDGE ambao matokeo yao yametoka hivi karibuni lakin mkakati huo UMEKWAMA.
Kukwama huko kwa mkakati huo kunakuja huku matokeo yakiwa yashatoka, na kuna habari kua kwa mara ya kwanza katika historia ya Board, wanafunzi hao wa kiislam watapewa upya matokeo yao badala ya yale ya awali ambayo iligunduliwa "yamechakachuliwa"
Uchakachuaji huo umekuja kwenye somo la "Islamic Knowledge" ambalo kawaida hua Lina "paper" 2.
Kuna tetesi kua Katika usahihishaji wa somo hilo, uchakachuzi umefanyika kwa kujumlisha paper zote mbili lakin "wastani" ukapatikana kwa kuchukua jumla ya alama na "kugawa kwa 3" jambo ambalo limepelekea wastani uwe mdogo kuliko uhalisia.
Hii imekuja baada ya kutopatikana angalau A moja tu.
Simply ukipata 80 na 82 wastani utakuja 81 tu.
But kama jumla (162) inagawanywa kwa 3 badala ya 2 ni wazi kua wastani utashuka kua 54 badala ya 81 (27 less).
Wewe unawakilisha kundi gani kuuuuubwa lenye elimu, nyie watu mliosomeshwa kwa pesa za magudulia ya pombe na nyamafu, udhalimu ndio kazi yenu ! Mwana haramu atabakia kuwa haramu!Sioni kama ipo haja ya kumfelisha mtu ambaye kishafeli tayari.
Haya ni maneno ya kujustify kufeli kwenu. Waislamu waislamu, yani mnaamini kuna mtu anaweza kupoteza muda wake kuwahujumu as if ni kundi kuubwa lenye elimu kiasi cha kutengeneza public consideration! Unaumwa kichwa wewe sio bure
Haupiti ule wa kuamini Mungu alikula kipigo ili akuokoe !Uwezo wenu kufikiria mdogo sana!
Dakika tatu kama Mungu watatu !tafuta Panadol extra utapata utulivu...