Liquid iko wapi mkuu?Sawa naweza pita hapo kwa sasa nipo liquid hapa nasikiliza mziki mkali kutoka kwa Dj ommy crazy
HahahaNipo hapa "cha Malaya bar "namsikiliza dj nduchi wa kitaani kwetu
Kurasini
Jamaa mkali sana nakumbuka 2012 alifanya balaa pale the Alcade kwa Peter Moe. Ilikuwa ni kama annivesary fulani ya old skul madj wakiwemo wa Kenya mmoja wapo alikuwa Dj Pinyee. PQ alifnya scratching za balaa hadi Dj Pinyee alikwenda kimu-huge kama kukubali kazi ya PQ!!Wakuu,
Kama ni mtu wa burudani utakuwa unamjua DJ PQ, kijana mbunifu na mwanzilishi wa chuo cha kwanza cha kujifunza udj Tanzania.
Binafsi nimemfahamu kitambo lakini kabla hajawa maarufu niliona kipaji na uwezo wake usio wa kawaida. Mpaka sasa amekuwa moja ya Djs bora Tanzania.
Tonight wale wapenzi na wakali wa muziki wa 90s DJ PQ atakuwepo club Legends Namanga sambamba na madj wakali wengine wa zamani. Usikose kuhakikisha nilichosema.
View attachment 1343683
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaNipo hapa "cha Malaya bar "namsikiliza dj nduchi wa kitaani kwetu
Nipo Mwanangu... nilikuwepo last week hapo leo nipo Mkoani....nxt time nitakuchek kukafanye booge dance hapo mwanakwetu!!
Very humbled and skilled!Jamaa mkali sana nakumbuka 2012 alifanya balaa pale the Alcade kwa Peter Moe. Ilikuwa ni kama annivesary fulani ya old skul madj wakiwemo wa Kenya mmoja wapo alikuwa Dj Pinyee. PQ alifnya scratching za balaa hadi Dj Pinyee alikwenda kimu-huge kama kukubali kazi ya PQ!!
Sent using Jamii Forums mobile app