Mkali DJ PQ , genius wa scratching

Mkali DJ PQ , genius wa scratching

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Kama ni mtu wa burudani utakuwa unamjua DJ PQ, kijana mbunifu na mwanzilishi wa chuo cha kwanza cha kujifunza udj Tanzania.

Binafsi nimemfahamu kitambo lakini kabla hajawa maarufu niliona kipaji na uwezo wake usio wa kawaida. Mpaka sasa amekuwa moja ya Djs bora Tanzania.

Tonight wale wapenzi na wakali wa muziki wa 90s DJ PQ atakuwepo club Legends Namanga sambamba na madj wakali wengine wa zamani. Usikose kuhakikisha nilichosema.

djjdakathelegend-1580578871110.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo hapa "cha Malaya bar "namsikiliza dj nduchi wa kitaani kwetu
 
Wakuu,

Kama ni mtu wa burudani utakuwa unamjua DJ PQ, kijana mbunifu na mwanzilishi wa chuo cha kwanza cha kujifunza udj Tanzania.

Binafsi nimemfahamu kitambo lakini kabla hajawa maarufu niliona kipaji na uwezo wake usio wa kawaida. Mpaka sasa amekuwa moja ya Djs bora Tanzania.

Tonight wale wapenzi na wakali wa muziki wa 90s DJ PQ atakuwepo club Legends Namanga sambamba na madj wakali wengine wa zamani. Usikose kuhakikisha nilichosema.

View attachment 1343683

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa mkali sana nakumbuka 2012 alifanya balaa pale the Alcade kwa Peter Moe. Ilikuwa ni kama annivesary fulani ya old skul madj wakiwemo wa Kenya mmoja wapo alikuwa Dj Pinyee. PQ alifnya scratching za balaa hadi Dj Pinyee alikwenda kimu-huge kama kukubali kazi ya PQ!!

Very humbled and skilled!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom