Mkali wa celebrities forum 2015 ni...

Mkali wa celebrities forum 2015 ni...

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
1,159
Reaction score
1,274
Tupia hapa jina la member ambae huu mwaka amefanya ulipende jukwaa la celebrities kwa michango yake na useme kwa kiufupi unapenda nini kwake au ni topic gani ilikufuraisha toka kwake ili tufunge mwaka. Mwenye kura nyingi tutamtangaza mkesha wa mwaka mpya. Na kutambua mchango wake.
OK let's go!
 
mzurimie,Wa pili kidingi,watatu chinga one,waine Samsun,da nimemiss teamMemberz,all upon ni wakali wako vizuri kelikeli.#THE YEAR TO MAKE GREAT BONGOFLAVOR AGAIN-2016*WASAFIBABY.
 
Back
Top Bottom