Mkali wa celebrities forum 2015 ni...

Mkali wa celebrities forum 2015 ni...

@mzurimie yaaani huyu ukimsema daimond unalo...... atakushukiaje....ukimponda wema anakuja kusiliba kabisa hahaha mpaka nikadhani ni esma au kifesi

Ninachompendea hajabadilika... hajawahi kuacha kumtetea na na kumsifia domo... huyu ndo nimempa kura yangu
 
Shukurani kwa kweli nitapenda kuonana Kwanza kabisa na Diamond Platnumz na hao wengine siku moja nisalimiane nao, Sio kwa kumuona akiwa anaunguruma stejini tu.
 
Jamani @warumi ndio nampa
Hao wengine wanaleta uteam.

nani analeta u team...its very stupid watu mmekuwa engulfed na ujinga,...... mnawaza team ..team zipi hasa.... kumshindanisha nani na nani...??? taja ur favourite tambaa........
 
Back
Top Bottom