Mkali wa Hollywood Terrence J kutua jumamosi tar 12/7

Mkali wa Hollywood Terrence J kutua jumamosi tar 12/7

Twilumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
12,576
Reaction score
14,522
Kama ambavyo Rais Kikwete alikutana na wasanii wakali wa Hollywood wiki kadhaa zilizopita, mmoja wa wasanii hao Terrence D. Jerkins maarufu kama Terrence J amesema anatua bongo Jumamosi ya tarehe 12/7.

Ingawa Terrence J hajaeleza anaongozana na wasanii gani lkn awali Rais Kikwete alizungumza na meneja wa msanii Trey Song pamoja na msanii Usher Raymond ambao wote walionesha nia ya kufika nchini hapa.

Lengo likiwa ni kuja kutoa mafunzo mafupi kwa wasanii wa Movie na Muziki Tanzania. Terrence J anatamba na movie ya think like a man too baada ya tokeo kwanza la movie hiyo kufanya vyema.

Source: Instagram ac; iamTerrenceJ

Karibuni kwa mjadala tujadili namna gani ujio wa msanii huyu na wenzake unaongeza wigo mpana wa ukuaji uchumi nchini kwetu kama ambavyo Rais wetu ameona.
 

Attachments

  • 1404952724294.jpg
    1404952724294.jpg
    49.2 KB · Views: 705
safi rais kanfurahisha hapo tu. tena angemleta lil wayne atufungie mwaka kabisa aisee
 
Ila bora tu.afanye hvo kwenye uongozi wake ili akubwe maana hamna la maana alilofanya awaletee watu wajiburudishe sijui mziki wao una impact gani kwa uchumi
 
Hospitali wanalala chini kwa kujisa vitanda....

Madawa hakuna unaambiwa kanunue famasi...

Safi sana raisi mlete tuburudike na tusahau shida zetu...

rais unataka abebe kitanda mngoni m paka jimboni kwako wabunge wa chadema si wapo au wao shida zenu hawawezi kuzitatua mpaka rais azunguke na vitanda tanzania nzima.
 
Sasa hawa wanaokuja wataongea kiswahili au watakuja na mtafsili maana wasanii wetu english ni mama mkwe
 
jk lazima ataigiza nae think like a man nyingine baada ya hii too....
 
Back
Top Bottom