Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Kama ambavyo Rais Kikwete alikutana na wasanii wakali wa Hollywood wiki kadhaa zilizopita, mmoja wa wasanii hao Terrence D. Jerkins maarufu kama Terrence J amesema anatua bongo Jumamosi ya tarehe 12/7.
Ingawa Terrence J hajaeleza anaongozana na wasanii gani lkn awali Rais Kikwete alizungumza na meneja wa msanii Trey Song pamoja na msanii Usher Raymond ambao wote walionesha nia ya kufika nchini hapa.
Lengo likiwa ni kuja kutoa mafunzo mafupi kwa wasanii wa Movie na Muziki Tanzania. Terrence J anatamba na movie ya think like a man too baada ya tokeo kwanza la movie hiyo kufanya vyema.
Source: Instagram ac; iamTerrenceJ
Karibuni kwa mjadala tujadili namna gani ujio wa msanii huyu na wenzake unaongeza wigo mpana wa ukuaji uchumi nchini kwetu kama ambavyo Rais wetu ameona.