Mkali wa Hollywood Terrence J kutua jumamosi tar 12/7

Twilumba uku wazima tena Dr. Jakaya tupo nae uku kitaa
 
Last edited by a moderator:
Cuzooo...Mona Hamnq Kitu Labda Akiandika Barua...

We humjui monalisa cuzoo, yani yeye na mama yake ni noma kwa lugha, kuna movie ya kibongo inaitwa she is my sister ya marehemu kanumba ya mda kidogo nenda kaicheki halafu uone makali ya monalisa, hana english ya kuombea maji, anatema lugha balaa, inshort familia yao kwa lugha wapo fresh
 

Mama Yake Alikuwa Rafiki Wa Baba Yangu Kipindi Cha Nyuma,Anaweza Lakini Si Kwa Kiwango Kile Tunachotaka.......Mona,Kama Ameweza Siku Hizi Basi Hana Confidence...Ujue Wema Naye Hamna Kitu Pale Kivileee Ila Kujiamini Kunambeba.....Tunahitaji Watu Wa Viwango Kabisa Internationally....
 

yani mabishano haya yote kisa ni nani anajua kiingereza... kweli kabisa mnapoteza muda kujadili upuuz kama huu...
 
Safi Sana Mh Rais Dr. Alhaji J.M.Kikwete kwa kutekeleza ahadi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…