Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cuzooo...Mona Hamnq Kitu Labda Akiandika Barua...
We humjui monalisa cuzoo, yani yeye na mama yake ni noma kwa lugha, kuna movie ya kibongo inaitwa she is my sister ya marehemu kanumba ya mda kidogo nenda kaicheki halafu uone makali ya monalisa, hana english ya kuombea maji, anatema lugha balaa, inshort familia yao kwa lugha wapo fresh
mwee leo mnisamehe nilikua na hamu ya kuumwaga ubuyu sema ndio hivyo
Mama Yake Alikuwa Rafiki Wa Baba Yangu Kipindi Cha Nyuma,Anaweza Lakini Si Kwa Kiwango Kile Tunachotaka.......Mona,Kama Ameweza Siku Hizi Basi Hana Confidence...Ujue Wema Naye Hamna Kitu Pale Kivileee Ila Kujiamini Kunambeba.....Tunahitaji Watu Wa Viwango Kabisa Internationally....
ulitaka kipi kibishaniwe mkuu?