Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mmh wema? Bora monalisa ana english safi sana na anaongea kwa umakini, sio madam ana english ya mashauzi
Mona sijawah kumsikia akiongea kiinglishiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh wema? Bora monalisa ana english safi sana na anaongea kwa umakini, sio madam ana english ya mashauzi
Mona sijawah kumsikia akiongea kiinglishiiii
Mona sijawah kumsikia akiongea kiinglishiiii
Binamu mwenzio apa natetemeka nusu niangushe simu, ebu tupe kwanza mambo tupunguze swaumu
wema yuko vizuri kwenye lugha ya malkia amemsaidia hata diamond naye anafanyiwa interview mpaka bet. achaneni na sanaa za ras simba na formula zake za t+e+s.
binamu huu udaku nimeshapata deal la pesa ndefu
so sina jinsi zaidi ya kufunga mdomo wangu kwa sasa
Tafadhali binamu niwie radhi, mwenzio presha inashuka utaniua binamu
Monalisa na mama yake kwa lugha ni nyoko wale, ndo maana marehemu kanumba alikuwa akiwatumia kipindi kile wa nigeria walivyokuja kuigiza movie, monalisa level nyingine yule sio lugha tu ata kuigiza, bongo hakuna anayempata. Wema mbona mchumba tu. Monalisa hanaga mashauzi ya kipuuzi yule
Wema yuko vizuri.........kwenye kiingereza
the same kwa Monalisa
nikisema deal litakua lishaharibika... ngoja nivute mkwanja wangu kwanza
wema yuko vizuri kwenye lugha ya malkia amemsaidia hata diamond naye anafanyiwa interview mpaka bet. achaneni na sanaa za ras simba na formula zake za t+e+s.
ahaaa mkuu Matola kwa hiyo kiingerza cha wema ni matunda ya formula za ttets za ras Simba?
hahaha hatareeee sana
huyo ras simba nasikiaga tu tangazo lake tedioni eti ana formula yake na akikufundisha kingereza wiki 3 kama hujaelewa unarudishiwa ada yako, yaani nchi hii imejaa matepeli!!
Mmh wema? Bora monalisa ana english safi sana na anaongea kwa umakini, sio madam ana english ya mashauzi
utaua mtu kwa presha wangu!
huyo ras simba nasikiaga tu tangazo lake tedioni eti ana formula yake na akikufundisha kingereza wiki 3 kama hujaelewa unarudishiwa ada yako, yaani nchi hii imejaa matepeli!!