Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Aawapii hamfikiI huyo Mchina! Mchina huyu ana ung'eng'e wa lugha za Kitaalam..anakuambia Tafiti za Benki ya Dunia n.k..Nae huyo unayemsifia alijifunza Kiswahili Tanzania yaani walimkamua fedha kupata uwelewa wa Kiswahili hicho anachojinadi nacho.MK254 ndiyo pekee anaokoa jahazi la team254 jukwaa la Jamiiforums/ Kenya na taifa la Kenya kwa matumizi ya Kiswahili safi.
Kivipi? Usishangae Kiswahili chenyewe alifunzwa na mkenya. Wako wengi sana China wakitoa haya mafunzo ya Kiswahili
Lazma kajifunza toka kwa Mwalimu Mtanzania! Kuna Mkenya anabisha humu ndani? ππ
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican,Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Livale
Souti =sautiMbona hizi TV za Tanzania quality mbovu hivi?? Souti yenyewe unadhani inatumia Medium Amplitude modulation (AM) wave ama Frequency Modulation (FM)!! Inakera kweli!!! Hivi wabongo hutazama aje vitu aina hii??
Lazma kajifunza toka kwa Mwalimu Mtanzania! Kuna Mkenya anabisha humu ndani? ππ
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican,Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Livale
East African Swahili Council approved Tanzanian Swahili as standard n since the most advanced there is no chance to avoid the Tanzanian Swahili!Nani alisema Kiswahili ya Tanzania ndio standard?
A mature society has its own words and accents, but at the end of the day its the same language.
Kenyans have made the language their own, added new words and we don't need anyone's validation.
It also shows the flexiblity and creativity among its people.
Nyinyi waTanzania shindeni hapo mkidhani mtapata medali kuongea kiswahili kama wahenga wa kitambo.
Sisemi ni vibaya, lakini msitusumbue na lugha yetu.
Huyu nyang'au amejitahidi kukinoa Kiswahili chake tangu ajiunge na JF. Hapo awali Kiswahili chake kilikuwa kinaleta kichefuchefu.MK254 ndiyo pekee anaokoa jahazi la team254 jukwaa la Jamiiforums/ Kenya na taifa la Kenya kwa matumizi ya Kiswahili safi.
Mbona hizi TV za Tanzania quality mbovu hivi?? Souti yenyewe unadhani inatumia Medium Amplitude modulation (AM) wave ama Frequency Modulation (FM)!! Inakera kweli!!! Hivi wabongo hutazama aje vitu aina hii??
Ha Ha ! Naona kimya kingi MK254 hajajitokeza mpaka dakika hii, maana yake hoja yako imepita bila kupingwa na "nguli " wa Kiswahili MK254. Naunga mkono hoja.Aawapii hamfikiI huyo Mchina! Mchina huyu ana ung'eng'e wa lugha za Kitaalam..anakuambia Tafiti za Benki ya Dunia n.k..Nae huyo unayemsifia alijifunza Kiswahili Tanzania yaani walimkamua fedha kupata uwelewa wa Kiswahili hicho anachojinadi nacho.
Wewe umetazanaje?Mbona hizi TV za Tanzania quality mbovu hivi?? Souti yenyewe unadhani inatumia Medium Amplitude modulation (AM) wave ama Frequency Modulation (FM)!! Inakera kweli!!! Hivi wabongo hutazama aje vitu aina hii??