kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Kwanza nyie Mna lugha gani ya Taifa ya kwenu kabisa wakati mnazungumza lugha za watu halafu zote mnabolonga haahahah wakenya ni shida tupu
Maana kuu ya lugha ni kuelewana.
Kile Kiswahili mnasema tumeharibu, bora sisi tunaelewana.
Lugha zetu za taifa ni English na Kiswahili. As long as we understand the message passed along, we're good.