Mkalimani Wa Tanzania Ajaribu Kudanya Umati Na Tafsiri Mbovu

Mkalimani Wa Tanzania Ajaribu Kudanya Umati Na Tafsiri Mbovu

Watanzania mbona Kiingereza huwa ngumu sana kwenu? Sijawahi kuelewa. Watu ambao mlikuwa chini ya Waingereza kwa miaka zaidi ya arubaini hata kuzungumza maneno machache tu ya kiingereza ni shida. Mnatuaibisha Waafrika wengine. Mna ushamba mwingi sana.
 
Hio hata mtoto wa class 2 huku Kenya atatafsiri bila bugdha yoyote.
 
Watanzania mbona Kiingereza ni ngumu sana kwenu? Sijawahi kuelewa. Watu ambao mlikuwa chini ya Waingereza kwa miaka zaidi ya arubaini hata kuzungumza maneno machache tu ya kiingereza ni shida. Mnatuaibisha Waafrika wengine. Mna ushamba mwingi sana.
Watanzania wanyonge na ccm yao ndo hawajui English Sisi Chadema tuko vizur fluent in English
 
Alidanganya au alikosea tu?
 
Hii nchi kwanza watu hadi viongozi Wana mentality ya kijamaa na hawana mtizamo wa kusaidia watu kujiajiri kwa kujenga mazingira rafiki

Ndio maana namkubaligi JK maana alifanya watu kuacha Kazi sekta ya umma na kujiajiri,ilikuwa ni mwanzo mwema wa kujenga spirit ya kujiamini na kujiajiri kwenye sekta binafsi.

Serikali iliyopita ikarudisha mentality za serikali kushika hatamu na kila mtu kuwaza kuajiriwa maana mazingira ya kujiajiri yalikuwa hovyo kabisa ,wanaoitwa wanyonge hawakuwa na purchasing power kabisa .

Ni rai yangu kwa Rais mpya aangalie upya mfumo wa elimu Ili kuweka msisitizo wa lugha ya malkia,hii itatusaidia kuwa competent na kushindana duniani badala ya kuwa finyu na mazingira yetu tuu.
 
Watanzania mbona Kiingereza huwa ngumu sana kwenu? Sijawahi kuelewa. Watu ambao mlikuwa chini ya Waingereza kwa miaka zaidi ya arubaini hata kuzungumza maneno machache tu ya kiingereza ni shida. Mnatuaibisha Waafrika wengine. Mna ushamba mwingi sana.
Ndio maana Geza ulole hua anakutukana bila huruma,kumbe una ujinga mwingi Sana,yaani Mwafrika kutozungumza kingereza kwa ufasaha ni kutia aibu Afrika??? Kumbaf Sana.
 
Watanzania mbona Kiingereza huwa ngumu sana kwenu? Sijawahi kuelewa. Watu ambao mlikuwa chini ya Waingereza kwa miaka zaidi ya arubaini hata kuzungumza maneno machache tu ya kiingereza ni shida. Mnatuaibisha Waafrika wengine. Mna ushamba mwingi sana.
We ni mzigo Sana aisee Kwa waafrika yaani mbona kukosea kiingereza mbona kitu cha kawaida hata huko ulaya watu wengi Tu wanakosea kiingereza.Dah watu kama nyie mnatakiwa kupigwa risasi ni aibu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kiingereza ni kama lugha zingine Tu.
 
Watanzania mbona Kiingereza huwa ngumu sana kwenu?
Kama ume-note vizuri, baada ya tafsiri ile watu waliguna, na hii inaashiria wanaelewa kiingereza. Si vyema kutaja generally kuwa ni Watanzania, ingekuwa vyema ukasema mkalimani hajui kiingereza
 
We ni mzigo Sana aisee Kwa waafrika yaani mbona kukosea kiingereza mbona kitu cha kawaida hata huko ulaya watu wengi Tu wanakosea kiingereza.Dah watu kama nyie mnatakiwa kupigwa risasi ni aibu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kiingereza ni kama lugha zingine Tu.
Kiingereza ni lugha ya dunia, sio lugha kama zingine.
 
”I felt honored because President Magufuli was not a great traveller, He didnt like traveling very much, He preferred to stay here at home”

”Nilijisikia kuheshimiwa sana kwasababu Mh. Magufuli alikuwa ni mtu Imara, mwenye upendo ambaye alipenda pia kusikiliza na kutoa mwongozo kwa wenzake”
 
Labda kwa kukusaidia mleta uzi, ni kwamba kuna threads zaidi ya nne zilishaanzishwa kuhusu huyu mkalimani, na watu wamezidiscuss kwa ku-ejoy tu. Pengine wewe hukupitia nyuzi za humu kabla hujaibandika yako, ndo maana ukaona labda ni breaking news! Ni kwamba watu wamejadili na wamefurahi, so umechelewa na usiilete kwa mlengo wa nchi na nchi, utaharibu yaliyokwishajadiliwa. Pita pita humu utazikuta nyuzi za jamaa
 
Hehehee mbavu zangu... huyu atakua yule dayaspora wa Buza eliakeem
Kingereza huwatesa sana hawa.
 
Watanzania mbona Kiingereza huwa ngumu sana kwenu? Sijawahi kuelewa. Watu ambao mlikuwa chini ya Waingereza kwa miaka zaidi ya arubaini hata kuzungumza maneno machache tu ya kiingereza ni shida. Mnatuaibisha Waafrika wengine. Mna ushamba mwingi sana.
Kiingereza alichokuwa anaongea HE Ramaphosa,kilikuwa Cha kawaida sana,hata kijana wa shule ya kata angeweza kuelewa,
Huyu Mkalimani ni kilaza tu,ndio ubovu wa kuweka watu kwa kujuana,kikabila.
Hata Yule Mama MC,alikuwa hajuhi kuongea hata kiswahili vzr,sauti baya,sie tulitegemea wakati anasherehesha angekuwa anatupia hata ka historia ka Maghu,Ili kuwaweka watu karibu,na angekuwa japo kidogo,anatwanga kizungu kidogo,
Sasa mijitu yote haijui kizungu kama alivyokuwa bosi wao.
Kwanini Hawakumchukua Hassan Ngoma,awe MC,huyu jamaa aliongoza msiba wa Ruge kwa weredi sana.
 
Back
Top Bottom