Mkalimani Wa Tanzania Ajaribu Kudanya Umati Na Tafsiri Mbovu

Watanzania mbona Kiingereza huwa ngumu sana kwenu? Sijawahi kuelewa. Watu ambao mlikuwa chini ya Waingereza kwa miaka zaidi ya arubaini hata kuzungumza maneno machache tu ya kiingereza ni shida. Mnatuaibisha Waafrika wengine. Mna ushamba mwingi sana.
Wapo Waingereza washamba pia
 
Comic relief, inanikumbusha yule jamaa wa sign language na vituko vyake kwenye mazishi ya Mandela. Lakini wanaochekesha zaidi ni hawa wanaomtetea mkalimani kwa kutojua kiingereza. [emoji1][emoji1][emoji1] Hivi kazi ya mkalimani ni nini basi? Nadhani kuzifahamu lugha(iwe kiswahili, kimaasai, kimeru, kifaransa, kijerumani, kiingereza, kireno) kwa undani ndio kitu cha muhimu zaidi kwa mkalimani.
 
Yaani kuna ujinga na UJINGA.

[emoji116]
IMG-20210323-WA0017.jpg
 
Kile kingereza cha Cyril Ramaphosa ni chepesi sana.

Ngoja tuongelee hii katika diplomatic point of view huwenda ukaelewa ila kwa sababu bado mpo utumwani sidhani kama utanielewa.

Mkalimani hajakosea hata kidogo. Kidiplomasia kitendo cha mtu kusema raisi wetu alikuwa hapendi kusafiri ni neno baya kwa hayati Rais wetu kipenzi na ndio maana mkalimani akapindisha maana na ndio maana hata mara baada ya watu kuonesha kushangaa na Cyril kurudia mara ya pili wala hakutafsiri tena.
Ameelewa alichokifanya na anastahili pongezi kwa kulinda heshima ya Rais wetu bila kujali kuwa yeye ataonekana ameharibu kazi yake.
 
Sikatai nilosomea santa kayumba ila haikunifanya nishindwe kujua neno traveller mkalimani ajaritamka🚶🚶
 
Kile kingereza cha Cyril Ramaphosa ni chepesi sana.

Ngoja tuongelee hii katika diplomatic point of view huwenda ukaelewa ila kwa sababu bado mpo utumwani sidhani kama utanielewa.

Mkalimani hajakosea hata kidogo. Kidiplomasia kitendo cha mtu kusema raisi wetu alikuwa hapendi kusafiri ni neno baya kwa hayati Rais wetu kipenzi na ndio maana mkalimani akapindisha maana na ndio maana hata mara baada ya watu kuonesha kushangaa na Cyril kurudia mara ya pili wala hakutafsiri tena.
Ameelewa alichokifanya na anastahili pongezi kwa kulinda heshima ya Rais wetu bila kujali kuwa yeye ataonekana ameharibu kazi yake.
Mi sidhani kama Ramaphosa alikua na nia mbaya,alichokifanya ni kumsifia raisi kwa uzalendo wa kuipenda nchi yake na kuwapenda watanzania thus why alikua hasafiri...ila huyu mkalimani alishindwa kuipata point ya Ramaphosa...
 
”I felt honored because President Magufuli was not a great traveller, He didnt like traveling very much, He preferred to stay here at home”

”Nilijisikia kuheshimiwa sana kwasababu Mh. Magufuli alikuwa ni mtu Imara, mwenye upendo ambaye alipenda pia kusikiliza na kutoa mwongozo kwa wenzake”

Nimeona Kuna mtu kaandika Hiki.

IMG_6304.jpg
 
Mi sidhani kama Ramaphosa alikua na nia mbaya,alichokifanya ni kumsifia raisi kwa uzalendo wa kuipenda nchi yake na kuwapenda watanzania thus why alikua hasafiri...ila huyu mkalimani alishindwa kuipata point ya Ramaphosa...
Hayo mambo ni makubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri.
 
mkalimani kachapia na hata ivo pia mwendazake hakupenda kusafiri nje ya nchi kwa sababu angeongea na nani na kwa lugha ipi???
kujua lugha ni muhimu sana aisee....
 
”I felt honored because President Magufuli was not a great traveller, He didnt like traveling very much, He preferred to stay here at home”

”Nilijisikia kuheshimiwa sana kwasababu Mh. Magufuli alikuwa ni mtu Imara, mwenye upendo ambaye alipenda pia kusikiliza na kutoa mwongozo kwa wenzake”
Watu "AAAAAAAHHHHHHH[emoji2788][emoji2788][emoji2788]"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati wa Mazishi ya N.Mandela,mkalimani alipitosha pia,sijui shida ni nini?
 
Watanzania mbona Kiingereza huwa ngumu sana kwenu? Sijawahi kuelewa. Watu ambao mlikuwa chini ya Waingereza kwa miaka zaidi ya arubaini hata kuzungumza maneno machache tu ya kiingereza ni shida. Mnatuaibisha Waafrika wengine. Mna ushamba mwingi sana.
Wewe akili yako mbovu kweli yaani mimi kushindwa kujua lugha ya mtu mwengine nakuabishaje wewe ilimradi najua lugha yangu haijalishi
 
Watanzania mbona Kiingereza huwa ngumu sana kwenu? Sijawahi kuelewa. Watu ambao mlikuwa chini ya Waingereza kwa miaka zaidi ya arubaini hata kuzungumza maneno machache tu ya kiingereza ni shida. Mnatuaibisha Waafrika wengine. Mna ushamba mwingi sana.
Achana na sisi bhana.kwani yule aliyekuwa anatafsiri alikuwa anatafsiri Kingereza nani amekwambia alikuwa mbongo? by the way yule jamaa alikuwa anaongea kiswahili wala siyo kingereza.Englishi haikuwa isue iliyomleta pale.yeye aliletwa aongee kiswahili na ndicho alichoongea
 
Back
Top Bottom