Mkamu wa pili wa rais wa Zanzibar awahimiza wananchi kufanya mazoezi

Mkamu wa pili wa rais wa Zanzibar awahimiza wananchi kufanya mazoezi

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mkamu wa pili wa rais wa Zanzibar Hemed Seleiman Abdulla amewahima wananchi mbalimbali kuhakikisha wanafanya mazoezi kila mara.

Hemed Ameyasema hayo katika Uzinduzi wa matembezi ya upimaji wa afya pamoja na ugawaji wa miwani bure Yalioanza kiembe samaki na Kumalizikia katika viwanja vya maisara Zanzibar Ambapo matembezi hayo yamezinduliwa na makamo wa pili wa rais wa zanizbar Hemed Suleiman Abdulla.
1740570456702.png
 
Back
Top Bottom