Mkanda wa WWE warudi kwa Seth Rollin

Mkanda wa WWE warudi kwa Seth Rollin

huyo the beast bila yale ma suplex city hamna kitu..

safi sana seth
 
Na hivi ndivyo Seth alivyokua akizikwepa Suplex za Lesnar
 
shida ya mieleka ya wwe kila kitu kinakuwa staged kwa umakini mkubwa na kufanyiwa rehearsal kabla ya mechi rasmi. hata mshindi huwa wanapanga awe nani.

anyway, pongezi kwake seth rollins kwa kumshinda brock lesnar.
 
Wizi mtupu wanatuibia watazamaji kila kitu kipo planed
 
Jana Seth alikuja tofauti ,suplex city ambayo ndio silaha kuu ya lesnar alikuwa anaziruka
Mi siamanigi sana hii kitu, Yaani kipigo chote cha kwenye kiti hakuvunjika, kipigo cha kwenye machela bado Leo amekompete na kushinda? Mi nilishindwa kuangalia usiku nikawaacha mabinti wanaangalia, nilichoka, nimeangalia Review mechi ya koffi na akina Natalia.
Ila the Beast anatisha sana.
 
Back
Top Bottom