Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Jana Seth alikuja tofauti ,suplex city ambayo ndio silaha kuu ya lesnar alikuwa anaziruka
huyo the beast bila yale ma suplex city hamna kitu..
safi sana seth
hahaHalafu huwa ni jepesi la kutoa kamasi bila mpangilio likidundwa kidogo tu.
Sijakuelewa, kwan Brock anatoka na Becky?Ila Brock bado anamchapia Seth mshikaji wake Becky.
Yah sasa hiv ipo namba 128 ila hiyo channel nimesikia ni kwa muda tuHii mieleka wanaipenda Sana watoto wangu juzi nilikuwa nachek nao Kwenye channel mpya Dstv namba 128
Hata mm nahisi hivo ,akipigwa kichwan anakuwa mlegevu na kutoa kamasihaha
beast huwa akipigwa kichwani anakuwaga kama anaweweseka flani hivi. yaani chunguza utagundua atakuwa ana matatizo kichwani
Seth alienda kujipanga jinsi ya kuzicheza suplex cityhuyo the beast bila yale ma suplex city hamna kitu..
safi sana seth
ntacheki marudio asee seth anatumiaga akili mno tofauti na kina roman..Seth alienda kujipanga jinsi ya kuzicheza suplex city
haha atakuwa mbovu yuleHata mm nahisi hivo ,akipigwa kichwan anakuwa mlegevu na kutoa kamasi
Mpaka December 31 ndiyo mwishoYah sasa hiv ipo namba 128 ila hiyo channel nimesikia ni kwa muda tu
Mi siamanigi sana hii kitu, Yaani kipigo chote cha kwenye kiti hakuvunjika, kipigo cha kwenye machela bado Leo amekompete na kushinda? Mi nilishindwa kuangalia usiku nikawaacha mabinti wanaangalia, nilichoka, nimeangalia Review mechi ya koffi na akina Natalia.Jana Seth alikuja tofauti ,suplex city ambayo ndio silaha kuu ya lesnar alikuwa anaziruka
Dah nataman kama ingekuwepo siku zoteMpaka December 31 ndiyo mwisho