Huyu mwamba amefanya mengi katika tasnia (kubwa Ni kutafsiri movies toka
lugha yoyote Ile kwenda Kiswahili. Anastahili tuzo ikiwemo Honorary doctorate na HESHIMA hata kama kashafa
Huyu mwamba amefanya mengi katika tasnia (kubwa Ni kutafsiri movies toka lugha yoyote Ile kwenda Kiswahili. Anastahili tuzo ikiwemo Honorary doctorate na HESHIMA hata kama kashafariki).
"Mpenzi mtazamaji, Lufufu Mkandara Video Tech iliyoko Mbagala Jijini Da es Salaam inakuletea picha maridadi ya kukata kwa shija....." Hakika huyu alikuwa mwamba. Salute kwake