Mkandala Lufufu anastahili Honorary doctorate

Huyu mwamba amefanya mengi katika tasnia (kubwa Ni kutafsiri movies toka lugha yoyote Ile kwenda Kiswahili. Anastahili tuzo ikiwemo Honorary doctorate na HESHIMA hata kama kashafariki).
njoo Kakiro video show hiyo ndo ilikuwa store ya movies zake pande hiyo simaanishi mmiliki, twende kwa magere na Malugu video show ndo kumbi alizitaja kwenye movies zake
 
Nimefagia kumbi za video ili nicheki movies zake, nimeuza vyuma na chupa za soda na bia then nawahimiza saa mbili kumbini
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…