Mkandarasi anatulipisha Tsh 50,000 kwa nyumba kila mwezi kuzoa taka Masaki (Dar) lakini huduma ni mbovu

Mimi ni mkazi wa Masaki nimeona ripoti ya gharama za utoaji taka kuwa kubwa mitaa ya Mbezi Beach B (maarufu kwa jina la Mbezi Beachi ya Chini) nikaona nami nipaze sauti yangu kwa upende wetu wa Masaki ndani ya Jiji letu hili la Chalamila.

Huku Masaki gharama ni mara mbili ya Mbezi, Mkandarasi hutoza kuanzia kiasi cha Tsh. 40,000 mpaka Tsh. 50,000 kwa nyumba, ajabu ni kuwa kwa mwezi gari la kukusanya taka hupita mara moja tu likijitahidi saana litapita mara mbili kwa mwezi.

Kuna wakati baadhi ya maeneo hufika mpaka miezi miwili hadi mitatu hatujapata huduma wakati Mkandarasi anakuletea invoice na unalipishwa kinguvu, ukikataa unapelekwa kwenye Vyombo vya Sheria, vinakuhukumu ilipe hata kama hujapata huduma, mbaya zaidi ukimhoji Mkandarasi unajibiwa Halmashauri zinataka mapato lazima tu ulipe.

Jamani kama sio uonevu ni nini? Tunaonewa naombeni Vyomba vya Habari mtusaidie kufikisha malalamiko yetu kwenye mamlaka husika tafadhali.

Pia soma:

Oya ni yule mama mnene nini?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
kwa mara ya kwanza nasikia mkazi wa masaki analalamika . masaki nayoijua hawalalamikagi wale watu wanachukua hatua..tabia za kulalalmika ni za uswailini uko tandale,manzese..

Ushauri uza hyo nyumba ya urithi ya masaki amia uswailini Kwa ndugu zako mkaendeleze malalamiko..huko masaki hapakufai Wala sio mahala kwako unaforce tuu....
 
Hii sio sawa, kabisa! Kwa 50,000 mnapaswa msibakiwa na taka ndani kabisa, at least every week.
 
kwa mara ya kwanza nasikia mkazi wa masaki analalamika . masaki nayoijua hawalalamikagi wale watu wanachukua hatua..tabia za kulalalmika ni za uswailini uko tandale,manzese..

Ushauri uza hyo nyumba ya urithi ya masaki amia uswailini Kwa ndugu zako mkaendeleze malalamiko..huko masaki hapakufai Wala sio mahala kwako unaforce tuu....

Haupo sahihi, ajalalamikia bei, kalalamikia huduma kutofanyika vizuri, nafikiri una matatizo yako na stress za kutokuwa na hela.

Kwa hiyo kama unaishi masaki unaweza lipia huduma isifanyike halafu ukawa kawaida tu usilalamike?

Dhana uliyo nayo ni ya hovyo na ya kimaskini, hakuna watu makini kwenye fedha kama matajiri, labda wawe wanatoa msaada.
 
Samahani kama nitakukwaza.

Kama unaona 50K ni kubwa kwa mwezi ni kwamba hustahili kuishi masaki ina maana masaki sio level yako.

Kwani lazima uishi huko mkuu? Waache wenye uwezo wao waishi huko. Kulalamika hakutasaidia chochote.
Kuwa na pesa haimaanishi uwe unazimwaga tu,ni lazima uhakikishe thamani ya pesa inalingana na huduma unayoipata,na pia siyo kila mkazi wa masaki ana hela!!

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Haupo sahihi, ajalalamikia bei, kalalamikia huduma kutofanyika vizuri, nafikiri una matatizo yako na stress za kutokuwa na hela.

Kwa hiyo kama unaishi masaki unaweza lipia huduma isifanyike halafu ukawa kawaida tu usilalamike?

Dhana uliyo nayo ni ya hovyo na ya kimaskini, hakuna watu makini kwenye fedha kama matajiri, labda wawe wanatoa msaada.
wewe ni wale wale tu makasiriko mda wote..masaki sio Kwa makabwela kama wewe...nenden uswailini uko Kwa wachafu wenzenu..
 
Kwani taka za masaki na za tandika ni tofaut mbona maeneo mengi ni kati ya elf 2 hadi 3 kwa nyumba.
 
Nadhani hawana Muongozo wengine utoza kwa chumba yaani kila mpangaji ni elf 3 wengine utoza kwa nyumba nzima elf 3 hata kama Ina wapangaji
 
Mimi ni mkazi wa Masaki nimeona ripoti ya gharama za utoaji taka kuwa kubwa mitaa ya Mbezi Beach B (maarufu kwa jina la Mbezi Beachi ya Chini) nikaona nami nipaze sauti yangu kwa upende wetu wa Masaki ndani ya Jiji letu hili la Chalamila.

Huku Masaki gharama ni mara mbili ya Mbezi, Mkandarasi hutoza kuanzia kiasi cha Tsh. 40,000 mpaka Tsh. 50,000 kwa nyumba, ajabu ni kuwa kwa mwezi gari la kukusanya taka hupita mara moja tu likijitahidi saana litapita mara mbili kwa mwezi.

Kuna wakati baadhi ya maeneo hufika mpaka miezi miwili hadi mitatu hatujapata huduma wakati Mkandarasi anakuletea invoice na unalipishwa kinguvu, ukikataa unapelekwa kwenye Vyombo vya Sheria, vinakuhukumu ilipe hata kama hujapata huduma, mbaya zaidi ukimhoji Mkandarasi unajibiwa Halmashauri zinataka mapato lazima tu ulipe.

Jamani kama sio uonevu ni nini? Tunaonewa naombeni Vyomba vya Habari mtusaidie kufikisha malalamiko yetu kwenye mamlaka husika tafadhali.

Pia soma:

Kama ulienda shule ni Rahisi sana.

Kataa kulipa Ili mkutane mahakamani. Naamini unaye Mwanasheria.

Huyo mkandarasi akuonyeshe mkataba uliokubaliana nae awe anakuzolea taka. Ni lini ulimpa KAZI ya kukuzolea taka.

Kama Hana aende Jiji akalipwe na waliompa mkataba, ni case Rahisi sana, watakuwa wakifika kwako wanakuvuka na kwenda Kwa wasiojua HAKI zao.

Hii ni Nchi huru yenye kufuata SHERIA na kanuni.

SHERIA za manispaa ni by laws, kamwe hazitakiwi kupingana na Katiba ya nchi.

Kuzolewa taka ni hiari Yako, haipasi kuwa amri.
 
Tatizo la wazoa taka kupitia taka Mara chache lipo Kila sehemu. Mlifanya makosa kukubali kupandishiwa Bei ni uzembe wenu, hizo kazi zinatolewa kwa tenda hivyo mkandarasi hawezi kupandisha Bei katikati ya mkataba.
 
Back
Top Bottom