kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,414
Jamani madreva mnaopita njia hiyo, nahisi huyu mkandarasi anatengeza hiyo Barabara hawazi sawa sawa muwe makini.
Kachimba mashimo kila mahali, leo ni siku karibu ya tano napita hapo, yako vilevile. Sasa naomba muwe makini maana, mnaweza mkafanya ajari, najua lengo lake ni kuifanyia Barabara service, lakini hajali maisha ya watu wengine.
Huezi acha mashimo wazi namna Ile, nimepitia leo nimekuta pako vilevile, usiku nitapita tena.