DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Stend ya namna gani inayojengwa hivyo, yaani billion 1 ijenge stend kweli au ni vibanda kama vile vya Nzega?
Nimefanikiwa kupita kwenye Stendi ya Bukoba ambayo iliezwa na Viongozi wetu wa Serikali kuwa inafanyiwa ukarabati mkubwa, nimekuta kwa sasa ujenzi unaendelea baada ya kusimama kwa zaidi mwaka mzima.
Mnamo Januari 2025 nilileta hoja hapa Jukwaani nikaeleza kwamba ujenzi umesimama na mkandarasi hayupo 'site' licha ya ukarabati huo kutakiwa kuwa umekamilika.
Nilieleza kwamba Mkandarasi alitakiwa kutumia kipindi cha Miezi sita kukamilisha mradi huo tokea ilipotangazwa Mwezi October 2023, hivyo ni kwa mujibu wa taarifa zilizokuwepo rasmi za kiofisi.
Katika maelezo ya awali nilieleza kuwa eneo hilo ni kama lilikuwa limetelekezwa kutokana na kuwa Mkandarasi alikuwa amesawazisha eneo hilo tu bila kujenga miundombinu kama ilivyooneshwa kwenye mchoro.
Awali kupitia mchoro ilielezwa kwamba stendi hiyo itakuwa na jengo la ghorofa moja lenye ofisi takribani 15, vyoo vya Wanaume na Wanawake, eneo la wazi kwa ajili ya mabasi pamoja na miundombinu mingine.
Itakumbukwa ukarabati huo ulitokana na fedha takribani Bilioni Moja iliyotolewa Serikali kupitia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kutumika kujenga Stendi ya Kyakairabwa, lakini badae pesa hiyo ilibadilishiwa matumizi baada ya vikao vya makubaliano ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba.
Hata hivyo nilitoa wito kwa kwa mamlaka kufuatilia, kutokana na kuonesha wasiwasi wa fedha hizo kupigwa kama ambavyo awali kabla ya pesa kubadilishiwa matumizi, ambapo Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa alidai kuwa pesa hizo zilikuwa zimeshaanza kutengenezewa mazingira ya upigaji.
Pia soma ~ Ukarabati wa Kituo cha Mabasi Bukoba kwa "Bilioni Moja ya Rais Samia" hakuna kinachoendelea, Je, Watumishi wamepiga dili tena?
Nchi hii Kila kitu kinawezekana.Stend ya namna gani inayojengwa hivyo, yaani billion 1 ijenge stend kweli au ni vibanda kama vile vya Nzega?
Kwan b1 haitoshi kujenga stand mkuu ya kawaida standard !!?Stend ya namna gani inayojengwa hivyo, yaani billion 1 ijenge stend kweli au ni vibanda kama vile vya Nzega?
[emoji23]View attachment 3272387Kwa Uandishi Huu Wa Hovyo Wa Hili Bango,Nadhani Kazi Itakuwa Vivyo Hivyo.
Hakuna stend ya bil 1 kaka, imekuwa kituo cha daladalaKwan b1 haitoshi kujenga stand mkuu ya kawaida standard !!?
Hii stendi ina drama nyingi sana, mwanzo tuliambiwa Rais ametoa bilioni moja ya kuanzia ukarabati baadae tukasikia sio ukarabati tena wanaenda kujenga stendi mpya kyakailabwa na mkandarasi alienda huko akaweka na vifaa mpaka anakuja kutimuliwa na mkuu wa mkoa. Sasa cha kujiuliza ni akina nani walibadili matumizi ya ile fedha kutoka kukarabati kwenda kujenga stendi mpya tena hata bila viongozi kama mkuu wa mkoa kujua?? Hii inaonesha hii pesa ilichezewa maana mpaka mkandarasi anapeleka vifaa kyakailabwa huenda alishalipwa ela ya kuanzia ambapo kazi hakuifanya tena. Na hicho kiasi kilichobaki ndi ndo kilikuja kumwaga jamvi chini na ukarabati ukaishia hapo. Kuna tetesi ujenzi wa vyoo na vibanda vya biashara ndo unaendelea sa hivi na ni hela kutoka halmashauri baada ya watu kulalamika hasa baada ya daladala kukosa sehemu ya kupaki baada kuondolewa stendi ya machinjioni ambako wameweka wafanyabiashara kupisha ujenzi wa soko. Kwa ufupi ukarabati wa hii stendi una kona nyingi.
Nimefanikiwa kupita kwenye Stendi ya Bukoba ambayo iliezwa na Viongozi wetu wa Serikali kuwa inafanyiwa ukarabati mkubwa, nimekuta kwa sasa ujenzi unaendelea baada ya kusimama kwa zaidi mwaka mzima.
Mnamo Januari 2025 nilileta hoja hapa Jukwaani nikaeleza kwamba ujenzi umesimama na mkandarasi hayupo 'site' licha ya ukarabati huo kutakiwa kuwa umekamilika.
Nilieleza kwamba Mkandarasi alitakiwa kutumia kipindi cha Miezi sita kukamilisha mradi huo tokea ilipotangazwa Mwezi October 2023, hivyo ni kwa mujibu wa taarifa zilizokuwepo rasmi za kiofisi.
Katika maelezo ya awali nilieleza kuwa eneo hilo ni kama lilikuwa limetelekezwa kutokana na kuwa Mkandarasi alikuwa amesawazisha eneo hilo tu bila kujenga miundombinu kama ilivyooneshwa kwenye mchoro.
Awali kupitia mchoro ilielezwa kwamba stendi hiyo itakuwa na jengo la ghorofa moja lenye ofisi takribani 15, vyoo vya Wanaume na Wanawake, eneo la wazi kwa ajili ya mabasi pamoja na miundombinu mingine.
Itakumbukwa ukarabati huo ulitokana na fedha takribani Bilioni Moja iliyotolewa Serikali kupitia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kutumika kujenga Stendi ya Kyakairabwa, lakini badae pesa hiyo ilibadilishiwa matumizi baada ya vikao vya makubaliano ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba.
Hata hivyo nilitoa wito kwa kwa mamlaka kufuatilia, kutokana na kuonesha wasiwasi wa fedha hizo kupigwa kama ambavyo awali kabla ya pesa kubadilishiwa matumizi, ambapo Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa alidai kuwa pesa hizo zilikuwa zimeshaanza kutengenezewa mazingira ya upigaji.
Pia soma ~ Ukarabati wa Kituo cha Mabasi Bukoba kwa "Bilioni Moja ya Rais Samia" hakuna kinachoendelea, Je, Watumishi wamepiga dili tena?
Uko sawa mkuu wabakarabati kwa ajili ya daladala na hii imetokana na watu kulalamika daladala zinapaki kwenye nyumba za watuHakuna stend ya bil 1 kaka, imekuwa kituo cha daladala
NAamini zinawezekana kabisaaHakuna stend ya bil 1 kaka, imekuwa kituo cha daladala
Waende Mwanza pale Nyamhongolo wakajifunze namna stend zinavyojengwa, afadhali ingekuwa hata bil 10 sio hiyo billion 1Uko sawa mkuu wabakarabati kwa ajili ya daladala na hii imetokana na watu kulalamika daladala zinapaki kwenye nyumba za watu
😂 😂View attachment 3272387Kwa Uandishi Huu Wa Hovyo Wa Hili Bango,Nadhani Kazi Itakuwa Vivyo Hivyo.