Mkandarasi apewa Milioni 600 na kujenga tuta la zege pekee. CCM "washangazwa" na kutaka mkandarasi huyo aondolewe

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee.

Tume ya Umwagiliaji imetaja sababu za kuchelewa kuwa ni kasi ndogo na ukosefu wa vifaa. Kamati imependekeza mkataba na mkandarasi huyo uvunjwe.

View attachment 3199507
Mkandarasi utakuta ni mjumbe wa kamati kuu CCM
 
Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee.

Tume ya Umwagiliaji imetaja sababu za kuchelewa kuwa ni kasi ndogo na ukosefu wa vifaa. Kamati imependekeza mkataba na mkandarasi huyo uvunjwe.

View attachment 3199507
Hakuna kitu hapa. Ni porojo tu hiyo kamati wanaleta na kutaka kusikika mitandaoni.
 
Hapo DED, DC na Procurement Officers walishapiga Milioni 300 zao saafi wametulia tu!

Alafu tunashangaa kwa nini Zanzibar wanajenga miradi ya uhakika kwa viwango? Kumbe ni kuendekeza kwa Rushwa kwa watanganyika ndiko kunatufanya tuchelewe kuendelea.
 
Zanzibar mko na rasimali zipi???
 
Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee.

Tume ya Umwagiliaji imetaja sababu za kuchelewa kuwa ni kasi ndogo na ukosefu wa vifaa. Kamati imependekeza mkataba na mkandarasi huyo uvunjwe.

View attachment 3199507
Sababu kama hizi ndizo zinazopelekea baadhi ya watanzania waamini kwenye utawala wa kidikteta.
Watu hawatosheki, wametawaliwa na tamaa, hata kile kidogo wanakwapua.
 
Hapo DED, DC na Procurement Officers walishapiga Milioni 300 zao saafi wametulia tu!

Alafu tunashangaa kwa nini Zanzibar wanajenga miradi ya uhakika kwa viwango? Kumbe ni kuendekeza kwa Rushwa kwa watanganyika ndiko kunatufanya tuchelewe kuendelea.
Hatari kweli kweli
 
Kwani kilichofanyika hapo si ndio sera ya chama cha mboga mboga chini ya bibi chaudere kula kwa urefu wa kamba bila kuingiliana wana jifanya kushangaa nini 🤔🤔
 
Hizo mbwembwe za kijinga, wangeuliza katika hizo 600m mkandarasi ameshalipwa shilingi ngapi?

Kuna siku serikali itakosa bidders kwenye kandarasi zake.
 
Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee.

Tume ya Umwagiliaji imetaja sababu za kuchelewa kuwa ni kasi ndogo na ukosefu wa vifaa. Kamati imependekeza mkataba na mkandarasi huyo uvunjwe.

View attachment 3199507
Wapiga deal hapo wamekutana
 
Hapo ni kwamba hilo tuta linaweza kuwa milioni 2, engineer anapewa milioni 50 ili asaini mkataba wa kipigaji wa milioni 600, wazee wa deal wanagawana kiasi kilichobaki milioni 550, hapa kuna mkurugenzi, kitengo cha ugavi na manunuzi wanaoamua nani apewe tenda, muhasibu mkuu anaetoa pesa, mkaguzi wa hesabu,n.k.

Jumba bovu limemuangukia engineer lakini kuna watu wengi
 
Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee.

Tume ya Umwagiliaji imetaja sababu za kuchelewa kuwa ni kasi ndogo na ukosefu wa vifaa. Kamati imependekeza mkataba na mkandarasi huyo uvunjwe.

View attachment 3199507
Wanajua athari za kuvunja mkataba au wanaropokwa Tu??
 
Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee.

Tume ya Umwagiliaji imetaja sababu za kuchelewa kuwa ni kasi ndogo na ukosefu wa vifaa. Kamati imependekeza mkataba na mkandarasi huyo uvunjwe.

View attachment 3199507
Wajinga hao kamati ya majungu. Mkandsrasi ana kosa lipi!
Wailaumu serikali badaka ujuha wao kudhanikuvunja mkataba ndio mwisho wa matatizo yao.
 
Back
Top Bottom