Mkandarasi apewa Milioni 600 na kujenga tuta la zege pekee. CCM "washangazwa" na kutaka mkandarasi huyo aondolewe

Mkandarasi apewa Milioni 600 na kujenga tuta la zege pekee. CCM "washangazwa" na kutaka mkandarasi huyo aondolewe

Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee.

Tume ya Umwagiliaji imetaja sababu za kuchelewa kuwa ni kasi ndogo na ukosefu wa vifaa. Kamati imependekeza mkataba na mkandarasi huyo uvunjwe.

View attachment 3199507
Anaenda wapi sasa 😅na pesa Je?
 
Back
Top Bottom