johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kutokea mwananyamala A hadi kona ya studio mkandarasi ametoa lami ya zamani kisha amefungulia barabara maisha yanaendelea.
Ndio nauliza kwanini uliondoa ile lami ya zamani?
Yaani umechimbachimba hadi vibarazani mwa nyumba za wenyeji halafu umejiondokea!!!
Kwa mfano pale Komakoma kwa Makongoro Nyerere jirani na Prof Vulata, yaani ni shida daladala zinasimama hadi nyumbani kwa mheshimiwa huku abiria wanachungulia chungulia.
RC Kunenge kamilisha hii miundombinu kwa viwango!
Maendeleo hayana vyama!