johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hii ni barabara ya kihistoria!Sasa haya tuyaite majungu au masufuria , au ndio kuijulisha selikali maana kama ni hatua basi anaweza hata mkurugenzi akaenda na mvuto wa maji.
Hao niliowataja hawakai huko tena bwashee ila historia inawakumbuka!Lengo ni kututajia mitaa na majirani zako bwashee!
RC Kunenge yumo humu amenisikia!Huo miradi hauna consultants ukawaulizw kwann kandarasi kaondoka??[emoji28][emoji28]
Nikudokeze tu, kandarasi hawezi jiondokea tu kama atakavyo yeye!! Fatilia kwa makini
Hao niliowataja hawakai huko tena bwashee ila historia inawakumbuka!
Hahahaaaa....... Mkimbia kwao ni mtumwa bwashee!Nawe jivute uhame huko bwashee, ila ni karibu na Lumumba sijui kama utawezana!
Hahahaaaa....... Mkimbia kwao ni mtumwa bwashee!
Hahahaaaa...... hahahaaaa...... hahahaaaa.......!Kumbe bado unaishi kwenu! I rest my case.