Mkandarasi wa ujenzi wa SGR Tanzania, Yapi Merkezi adaiwa kuwa na hali ngumu kiuchumi

Garama za kurudia chaguzi za marudio ya waunga juhudi,pamoja na bei za kununua waunga juhudi si zingetosha kumpoza huyu kandarasi!!!!!
 
You totally missed the point chief, that was a compliment! Hawa jamaa hawana tatizo walimwaga pesa vizuri kwa wafanyakazi wao, kuanzia wa technical mpaka upande wa mgt.









Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Utendaji wa awamu hii unatumia mno propaganda kuliko uhalisia wa mambo tutaona mengi.
yani huu mradi umetuletea life gumu sana, na ukifeli itakera sana
Mtoa uzi umeandika kama umefurahi hivi.
Yale machozi ya leo taifa yana mengi nyuma yake, ujio wa Lissu na haya tena

Ngoja wansiasa warudi toka Lupaso atafungwa mtu kwa kuhujumu uchumi kwa hilo tangazo hapo
Tuliambiwa tunajenga kwa fedha zetu wenyewe. Nini tena kimetokea?!
Pesa ya kufanyia miradi ya kifisadi ipo Mkuu au tunaambiwa ipo, lakini ya kuwaongezea mishahara wafanyakazi HAKUNA!
Ni kweli serikali huchelewesha malipo kwa waturuki hasa mwezi uliopita na huu, tatizo lipo kwa serikali na shirika la reli ndiyo wanawacheleweshea malipo
 

Hicho kinachoonekana kinaendana na kiasi kilichokwishatoka? Maana hoja sio kunaonekana, au mifano ya Sulivan nk.
 
Hao waturuki ni pumbavu sana,usithubutu kuwakodishia gari lako watalirudisha likiwa ni takataka tupu.

Taa wanavunja,bodi inakwanguliwa na miti,4wd system haifanyi kazi,handbreak wameharibu,Music System out of 6 Speakers zinafanya kazi 2 tu,viti haviwezi kua adjusted tena.Yaani hii gari(Suv) sijui mlikua mnabebea kokoto na magogo huko ndani.

Jinga sana hao watu.
 
Aiseee !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…