HII KWANGU NI AJABU!
nilichoona cha ajabu jana kwenye taarifa za habari itv,star tv na tbc1 ni kuwa.................tbc1 ilionesha kuwa mkutano wa chadema kulikuwa watu wachache saaan wakati itv na star tv kulionekana watu wengi kupita kiasi mpaka WANANCHI WALIAMUA wasukuma gari la dr.slaa........najiuliza?
-HV TBC1 WANAFANYA HAYA MAMBO KWA MASLAHI YA NANI?
-KUNA UKWELI WOWOTE KUWA HII SIYO TELEVISION YA TAIFA BALI YA CCM NA AKINA ROSTAM?
-NINA HAKIKA KUWA BAADA YA KUONA UMATI MKUBWA SANA WA WATU WALIONA WAELEKEZE KAMERA ZAO UPANDE AMBAO ULIKUWA NA WATU WACHACHE
-LAKINA KWA CHOMBO HIKI KINAFANYA HAYA?

usiwalaumu tbc 1 kwani mpiga picha wao yuko internship....kwa hivo bado hajaboboa kwenye kuchukua matukio, hasa ya chadema!
Kwa sasa TBC wanajitahidi jamani. Mnaofahamu tulikotoka tangu ile 1995 hadi leo 2010 yapo maendeleo. Kwangu taarifa ya habari nzuri ni ya TBC1 ambayo wakati mwingine inatuwekea wachambuzi wa siasa zetu, wanatoa muda kidogo kwa wahusika kuongea,....., tumetoka mbali!siamini..............na sijui tuwafanye nini hawa?......au kwa kuwa watz harujui kudai haki zetu?.......
kwa sasa tbc wanajitahidi jamani. Mnaofahamu tulikotoka tangu ile 1995 hadi leo 2010 yapo maendeleo. Kwangu taarifa ya habari nzuri ni ya tbc1 ambayo wakati mwingine inatuwekea wachambuzi wa siasa zetu, wanatoa muda kidogo kwa wahusika kuongea,....., tumetoka mbali!
sana sana,kumbe nii we uliiona.....mi ile saa moja kamili niliangalia channel te.,dah e bana bonge la nyomi ,yani nyomi mbaya,hali hii ikanipelekea kuisubiria taarifa ya habari ya saa2 usiku tbc,yaani nilichokiona sikuamini asilani!!!! hii ni zaidi ya uchakachuaji wazee!! yaani pale mkutanoni walionyeshwa watoto na baadhi tu ya watu,hii sijui imekaaje?
tv stations karibia zote zina upendeleo wa ajbu sana kwa ccm.
Hakuna hata yenye afadhali, wasipo'chakachua' kwenye taharifa ya habari 'watachakachua' kwenye makala.