Mkanganyiko juu ya dhima ya ziara ya Waziri wa Nishati

Hilo ndio jambo la msingi % otherwise hakukua na haja ya kupambana na gesi kwa sasa.
Ni lazima nikiri kuwa inanishangaza sana kuona Makamba katika hali kama hii.
Mi nilidhani anayo 'sophistication' kidogo ya kujua ujuha wa jambo kama hili alilolifanya!
 
Mbona ni rahisi tu, serikali hii inayosemekana anaiendesha Samia ni ya kundi maalum. Ipo kufanya shughuli za kundi hilo.
Hii siyo serikali inayosimamia maslahi ya nchi na wananchi wake.
JK & Rostam hawa ukiwa nao karibu lazima utoboe kirahisi sn
 
Mmmmmh, ngumu kumeza!
Napita tuuu
 
Nilisema toka day one. Huyo Kipara, SAMIA ana mlea sana kisa eti ali iba kura. Sasa anatumia hela za umma kujijenga kisiasa ili kusaka Urais.

Atoke Kikwete, Membe, Samia, Mwinyi, afu aje Kipara? Ukoo uleule. Mnatuona Watanzania Wajinga sna eti??????
 
Shida ya akina January hata Aibu hawanaga hao vijana muda wote ni usanii tu,unagawa gesi ambayo hata kuisimamia kama waziri umeshindwa unaanza kuleta usanii wa kipumbavu.Hii wizara haina Waziri tumesema muda mrefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…