Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ningelikuwepo huko ningelikwambia twende wote tukapime Ukimwi (H.I.V.)mimi huku nimesha pima miaka 2 iliyopita sina nipo Negative sina Maradhi mwilini zaidi ya mawazo tu. Pole sana Mkuu Majigo una Bahati mbaya nipo mbali na wewe tungelikwenda wote wawili kupima.jamani kuna mdau yeyote anampango wa kwenda kupima UKIMWI anipe kampani ya kwenda kumuona dokta?
Maana peke yangu moyo unanienda mbio!
Ningelikuwepo huko ningelikwambia twende wote tukapime Ukimwi (H.I.V.)mimi huku nimesha pima miaka 2 iliyopita sina nipo Negative sina Maradhi mwilini zaidi ya mawazo tu. Pole sana Mkuu Majigo una Bahati mbaya nipo mbali na wewe tungelikwenda wote wawili kupima.
Sio tu hayo Majani ya mpapai yanatibu Homa ya Dengue Majani ya Mpapai yanatibu Maradhi mengi tu Malaria pia yanatibu hayo majani ya Mpapai na maradhi mengine pia yanatibu. Majani ya Mpapai yanatibu mtu mwenye ugonjwa wa Saratani (cancer) Ushahidi huu hapa somabinafsi mbegu ya mpapai nimewahi kutumia kwa kuitafuna, majan nimewahi kutibia malaria. japo nilipona. ila sijui kama ni dawa mia kwa mia. hivyo si shauri mtu aitumie kama dawa ya malaria.
asante mkuu, kwakuniongezea ma-confidence kuhusiana na majani ya mpapaiSio tu hayo Majani ya mpapai yanatibu Homa ya Dengue Majani ya Mpapai yanatibu Maradhi mengi tu Malaria pia yanatibu hayo majani ya Mpapai na maradhi mengine pia yanatibu. Majani ya Mpapai yanatibu mtu mwenye ugonjwa wa Saratani (cancer) Ushahidi huu hapa soma
Papaya Leaf Tea Benefits – Could This Tea Be a Miracle Cure?
Although it is the fruit that is commonly collected from the papaya tree, the wide range of ailments that the leaf of the papaya plant can treat is definitely something to marvel at. Many people are very familiar with the benefits of the papaya fruit; however, what many do not realize is that the leaves can also be used to make a remedial tea. This tea can be used for treating a wide range of different ailments, but can also be enjoyed for the simple taste as well.
Digestive Aid
These leaves are especially useful in many digestive conditions and for skin disorders. Papaya leaf tea benefits the digestive system by using the soothing action of proteolytic enzymes to reduce the inflammation of the stomach lining, and may relieve symptoms of ulcers caused by H. pylori bacteria within the stomach. You can treat indigestion, gas and bloating or heartburn with a delicious tea that contains Vitamins A, B, E and C, zinc, manganese, iron, magnesium, calcium and potassium. Traditionally, papaya leaf tea has been used to treat parasites, ringworm, and new studies show that it can help those suffering from gluten intolerance.
External Uses
The papaya leaf tea benefits need not be just for internal use. In fact, heated papaya leaf tea bags are just as, if not more, effective as a remedy for skin conditions as pharmaceutical or over the counter products. There is much evidence to show that the papaya leaf juice can remove warts, reduce scarring, remove freckles, and treat fungal infections on the skin. It also exhibits antiviral and antibacterial properties that may help those who suffer from cold sores or even herpes.
Cancer Research
The papaya tree contains a compound known as acetogenins. These compounds are thought to inhibit the growth of tumors and cancers by cutting off the supply of blood to these cancerous cells. Clinical studies of the papaya leaf have used an extract from the leaf in order to study the effect of the leaf against the growth or production of cancerous cells. The evidence supports the claims that the juice from the leaf prevents abnormal cell growth and can interfere with the growth of tumors. In addition, trials are underway to use papaya leaf extract with those undergoing chemotherapy in order to enhance the cancer fighting properties. Papaya leaf tea benefits are becoming clearer all the time as scientists study natural and time-tested remedies for mundane and life-threatening illnesses throughout the world. source. Papaya Leaf Tea
Kuna Ushahidi mwingi tu kuhus Majani ya Mpapai yanatibu maradhi mengi ona huyu Mzungu wa Kijerumani alivyo fanya Utafiti wake na kugunduwa kuwa Majani ya Mpapai yanatibu Magonjwa zaidi ya 10 soma hapa chini.asante mkuu, kwakuniongezea ma-confidence kuhusiana na majani ya mpapai