Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ningelikuwepo huko ningelikwambia twende wote tukapime Ukimwi (H.I.V.)mimi huku nimesha pima miaka 2 iliyopita sina nipo Negative sina Maradhi mwilini zaidi ya mawazo tu. Pole sana Mkuu Majigo una Bahati mbaya nipo mbali na wewe tungelikwenda wote wawili kupima.jamani kuna mdau yeyote anampango wa kwenda kupima UKIMWI anipe kampani ya kwenda kumuona dokta?
Maana peke yangu moyo unanienda mbio!

