Mkanganyiko Mahakamani: Thadey Kweka aonekana kuwa mlalamikaji na mlalamikiwa katika shauri moja

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Una haika kuwa muhusika ndiye aliye upande wa pili? Jina moja linaweza kutumia na watu zaidi ya mmoja kwani hakuna sheria inayokataza.
 
Una haika kuwa muhusika ndiye aliye upande wa pili? Jina moja linaweza kutumia na watu zaidi ya mmoja kwani hakuna sheria inayokataza.
Mshitaki na mshitakiwa kwamba wana fanana kwa majina yote matatu?!
Tusipende kutetea uzembe.
 
 
Huo hapo ni uamuzi wa Mahakama na ni halisi (Authentic). Kimsingi, haueleweki na Hautekelezeki kisheria. Haiwezekani Thadey Sabinus Kweka akamshtaki Thadey Sabinus Kweka. Nitashangaa kama Polisi watatumia Uamuzi huo dhidi ya Kweka. Huko ni kukurupuka."📌🔨
 
Diaspora wanawindwa sana

Free Thadey Sabinus Kweka~Democracy Now in Tanzania & Goood Evening News


View: https://m.youtube.com/watch?v=C3W9hgwnvp0&t=3s
Nimeangalia hio youtube clip, inaonekana huyo mtoa taarifa anawatishia maisha ndugu zake na aliowataja kuwa anajua ni kina nani na wanaishi wapi na anataka Kweka aachiwe mara moja kwa kuwa anajua ndugu za maafisa wa ubalozi wanaishi wapi
Kwa nchi kama US, hii ni threat na kosa la jinai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…