KATUNZI THE YOUNG
Member
- Jan 2, 2015
- 37
- 3
diploma tumia cheti cha olevel, zaidi ya hapo subiri wakuu waje
kwani mwaka Jana uliomba vyuo gani mpaka ukakosa.?
mwaka jana niliomba MD-MUHAS,UDOM,SFUCHAS wakanitema eti sababu ya competition nikapangiwa St.joseph pesa ndefu kwa diploma sijawahi kuaply ndo hayo mkuu
matokeo yako form six ni mazuri usikubali kuapply diploma in clinical medicine ni mzunguko sana kwa sababu mpaka uje usome
mkuu kwa ushauri zaidi matokeo ya form6 mwaka huu yakitoka fuatilia uone kama ufaulu umeongezeka au umepungua kwa kitaifa na pia kwa shule uliyotoka......
kama hayana utofauti sana au ufaulu umepungua,,, basi apply degree tena but sio MUHAS, KCMC wala BUGANDO,, na kama utaweza wakati huohuo apply diploma kwa vyuo vya private,,, hata ikitikea umekubaliwa kote ni wewe tu unaamua uende wapi
Apply tena medicine nauanzie ifakara, udom na bugando
vilevile wanajamvi ningependa kujua au kama kuna mtu anajua ujanja au utaaramu wa kukabiliana na competition TCU ili mwaka huu niaply tenah MD wasiniteme kama mwaka jana? nashukuru kwa michango yenu
Ina maana uliahirisha mwaka au vipi mbona ujawa specific?
Kuwa muwazi wewe kua umefeli form six, kwa matokeo hayo ya form six mwaka jana watu hawajaachwa hata kama kuna competition vip!!!Napia ningependa ushauri nitumie cheti kipi kuaply sabu olevel nina( Physics-C ,Chemistry-B.Biology-D kwa matokeo ya2011 sio BRN) then form six(Biology-B.Chemistry-B,Physics-D kwa matokeo ya kidato cha sita mwaka jana) naomba mnisaidie nitumie cheti kipi?