Mkanganyiko wa hizi term za kiafya kwa udaktari

Mkanganyiko wa hizi term za kiafya kwa udaktari

Joined
Jan 2, 2015
Posts
37
Reaction score
3
Natumaini muko wazima wanajamvi mimi ni mmojawapo ya wanaosubiri kufanya usajili mwaka huu kupitia NACTE iliniombe diploma ya clinical medicine naomba kufahamu haya:

1.kuhusu CAS-Yani central admition system ya NACTE ikoje

2.Ni vyuo gani vya serikali vizuri kwa taaruma hiyo

3.naomba kujua hizi terms"CO. AMO.BCS.MD.RCB" zikoje katika utendaji

4Mfumo mzima wa maisha ya usomaji katika vyuo stahiki

5.Mwisho ni kufahamu matangazo ya application yanatokaga mda gan? na nikupitia wizara au NACTE.
 
Napia ningependa ushauri nitumie cheti kipi kuaply sabu olevel nina( Physics-C ,Chemistry-B.Biology-D kwa matokeo ya2011 sio BRN) then form six(Biology-B.Chemistry-B,Physics-D kwa matokeo ya kidato cha sita mwaka jana) naomba mnisaidie nitumie cheti kipi?
 
diploma tumia cheti cha olevel, zaidi ya hapo subiri wakuu waje
 
kwani mwaka Jana uliomba vyuo gani mpaka ukakosa.?
 
matokeo yako form six ni mazuri usikubali kuapply diploma in clinical medicine ni mzunguko sana kwa sababu mpaka uje usome
 
mkuu kwa ushauri zaidi matokeo ya form6 mwaka huu yakitoka fuatilia uone kama ufaulu umeongezeka au umepungua kwa kitaifa na pia kwa shule uliyotoka......
kama hayana utofauti sana au ufaulu umepungua,,, basi apply degree tena but sio MUHAS, KCMC wala BUGANDO,, na kama utaweza wakati huohuo apply diploma kwa vyuo vya private,,, hata ikitikea umekubaliwa kote ni wewe tu unaamua uende wapi
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako ndugu make unanitia moyo ntajaribu kuomba sehemu zote nahisi mungu atajaria
 
vilevile wanajamvi ningependa kujua au kama kuna mtu anajua ujanja au utaaramu wa kukabiliana na competition TCU ili mwaka huu niaply tenah MD wasiniteme kama mwaka jana? nashukuru kwa michango yenu
 
kwa matokeo hayo ya form six nakushauri apply medicine hizo diploma mzunguko mrefu sana.ukisindwa omba hata imtu
 
vilevile wanajamvi ningependa kujua au kama kuna mtu anajua ujanja au utaaramu wa kukabiliana na competition TCU ili mwaka huu niaply tenah MD wasiniteme kama mwaka jana? nashukuru kwa michango yenu

Ina maana uliahirisha mwaka au vipi mbona ujawa specific?
 
matokeo mazur una pt 6 .. na minimum admission pt kwa md vyuo vng(apart frm muhas) ni pt5.. apply MD bugando,kcmc,udom,st.francis,arcbishop james
 
Napia ningependa ushauri nitumie cheti kipi kuaply sabu olevel nina( Physics-C ,Chemistry-B.Biology-D kwa matokeo ya2011 sio BRN) then form six(Biology-B.Chemistry-B,Physics-D kwa matokeo ya kidato cha sita mwaka jana) naomba mnisaidie nitumie cheti kipi?
Kuwa muwazi wewe kua umefeli form six, kwa matokeo hayo ya form six mwaka jana watu hawajaachwa hata kama kuna competition vip!!!
Unaonesha unataka kuomba clinical medicine umeharibu kuweka matokeo yako ya uongo mwishowe unaishia kusifiwa tu na MAANA YA TERMINOLOGY ULIZOKUA UNATAKA KUELEWESHWA hujapata! Utaua wagonjwa wewe, huku hatuhtaj anaetaka sifa za kijinga ila ni umahiri
 
Back
Top Bottom