Mkanganyiko wa hizi term za kiafya kwa udaktari


hayo matokeo ni sawa na CCE kwa mwaka 2013.....kurud nyuma

kuhusu Doctor of Medicine - MUHIMBILI ni ngumu coz wanachukuaga mwisho cutting off point 10 ...kama kuna massive failure!

but KCMC, BUGANDO unapata
friends of mine walipata walikuwa na dv 2 ya 11.....!

my take- KCMC is the best for you
 

labda hatujamwelewa...!huyu ni graduate wa ACSEE last year....So kwa matokeo hayo ,kuhusu kutemwa ni sahihi hasa kwa MUHAS,KCMC coz competition huwaga ni kubwa....

BBD ni sawa na point 11(converted tayari)

wakati muhasi wanachukuaga cutt off point 9 but kukiwa na massive failure wanachukua hadi 10....KCMC wanachukuaga had 11
 

dah yani ndugu kama una ndugu alimaliza PCB mwaka jana naomba umuhulize kilichotokea kabisa ila kukuhakikishia naomba cheki hapa
S841/0091/2011(KWA FORM FOUR)
S818/0598/2014(KWA FORM SIX)
naomba ukimaliza wataarifu wana jamvi nafikili umeelewa mimi siwezi kupotosha umma sababu natafuta msaada na ningeficha nini wakati natafuta msaada kiukweli ndugu umenikatisha tamaa ila nashukuru kwa mawazo yako
 

Nashukuru sana ndugu sabu mawazo yako yananitia moyo nitajaribu kufanya hivyo ndugu
 
ni kweli kabisa kuna mtu ana phys 'C' chem 'B' biol 'B' na Bam 'B' ila amekosa kozi za udaktari akapangiwa udom edction naye pia ameahrsha mwaka kama wwe ila mckate tamaa mjaribu tena mwaka huu utapata ata yeye anaomba upya mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…