Mkanganyiko wa hizi term za kiafya kwa udaktari

Mkanganyiko wa hizi term za kiafya kwa udaktari

Napia ningependa ushauri nitumie cheti kipi kuaply sabu olevel nina( Physics-C ,Chemistry-B.Biology-D kwa matokeo ya2011 sio BRN) then form six(Biology-B.Chemistry-B,Physics-D kwa matokeo ya kidato cha sita mwaka jana) naomba mnisaidie nitumie cheti kipi?

hayo matokeo ni sawa na CCE kwa mwaka 2013.....kurud nyuma

kuhusu Doctor of Medicine - MUHIMBILI ni ngumu coz wanachukuaga mwisho cutting off point 10 ...kama kuna massive failure!

but KCMC, BUGANDO unapata
friends of mine walipata walikuwa na dv 2 ya 11.....!

my take- KCMC is the best for you
 
Kuwa muwazi wewe kua umefeli form six, kwa matokeo hayo ya form six mwaka jana watu hawajaachwa hata kama kuna competition vip!!!
Unaonesha unataka kuomba clinical medicine umeharibu kuweka matokeo yako ya uongo mwishowe unaishia kusifiwa tu na MAANA YA TERMINOLOGY ULIZOKUA UNATAKA KUELEWESHWA hujapata! Utaua wagonjwa wewe, huku hatuhtaj anaetaka sifa za kijinga ila ni umahiri

labda hatujamwelewa...!huyu ni graduate wa ACSEE last year....So kwa matokeo hayo ,kuhusu kutemwa ni sahihi hasa kwa MUHAS,KCMC coz competition huwaga ni kubwa....

BBD ni sawa na point 11(converted tayari)

wakati muhasi wanachukuaga cutt off point 9 but kukiwa na massive failure wanachukua hadi 10....KCMC wanachukuaga had 11
 
Kuwa muwazi wewe kua umefeli form six, kwa matokeo hayo ya form six mwaka jana watu hawajaachwa hata kama kuna competition vip!!!
Unaonesha unataka kuomba clinical medicine umeharibu kuweka matokeo yako ya uongo mwishowe unaishia kusifiwa tu na MAANA YA TERMINOLOGY ULIZOKUA UNATAKA KUELEWESHWA hujapata! Utaua wagonjwa wewe, huku hatuhtaj anaetaka sifa za kijinga ila ni umahiri

dah yani ndugu kama una ndugu alimaliza PCB mwaka jana naomba umuhulize kilichotokea kabisa ila kukuhakikishia naomba cheki hapa
S841/0091/2011(KWA FORM FOUR)
S818/0598/2014(KWA FORM SIX)
naomba ukimaliza wataarifu wana jamvi nafikili umeelewa mimi siwezi kupotosha umma sababu natafuta msaada na ningeficha nini wakati natafuta msaada kiukweli ndugu umenikatisha tamaa ila nashukuru kwa mawazo yako
 
hayo matokeo ni sawa na CCE kwa mwaka 2013.....kurud nyuma

kuhusu Doctor of Medicine - MUHIMBILI ni ngumu coz wanachukuaga mwisho cutting off point 10 ...kama kuna massive failure!

but KCMC, BUGANDO unapata
friends of mine walipata walikuwa na dv 2 ya 11.....!

my take- KCMC is the best for you

Nashukuru sana ndugu sabu mawazo yako yananitia moyo nitajaribu kufanya hivyo ndugu
 
ni kweli kabisa kuna mtu ana phys 'C' chem 'B' biol 'B' na Bam 'B' ila amekosa kozi za udaktari akapangiwa udom edction naye pia ameahrsha mwaka kama wwe ila mckate tamaa mjaribu tena mwaka huu utapata ata yeye anaomba upya mwaka huu.
 
Back
Top Bottom