Mkanganyiko wa Kiimani

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Pichani,

Jamaa mwenye nguo nyeupe 🀍 anadai kuambiwa na MUNGU kuwa anywe pombe lakini asioe.

Vilevile jamaa mwenye nguo nyeusi πŸ–€ nae anadai kuambiwa na MUNGU kuwa asinywe pombe lakini aoe wanawake wengi.



Je ni Upande hupi ni Sahihi, 🀍 au πŸ–€?
 
We unahisi nani yupo sahihi??
 
Upande HUPI ndio jambo gani?
Jifunze kuandika vizuri.
Wote wapo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…