Mkanganyiko wa matamko (Wizara na Polisi) kuhusu kung’olewa viti na fujo za Uwanja wa Mkapa

Huu uwanja si uko ktk matengenezo na ulitengewa 31 billion katika bajeti iliyopita,na mpk sasa imekarabatiwa sehemu ya pitch na kukimbilia,jukwaani pamoja na viti vyake bado hakujaguswa....sasa hizo hela zikilipwa zitaenda kununua vipi tena?
Walipe
 

Mara nyingi tumekuwa tukisikia na kushuhudia mikutano au mikusanyiko ya vyama vya siasa ikizuiliwa kufanyika kwa kuwepo kwa viashiria vya fujo au uvunjifu wa amani ambao hugunduliwa mapema sana na police (watu wa intelijensia),

Je hili la fujo na kuharibu viti vya uwanja hawakuweza kuliona mapema? Au intelijensia yao iko katika mambo fulani fulani tu.
 
Hakuna mkanganyiko hapo ni swala la mtizamo tu.uwanja una CCTV camera hivyo msipaniki mbivu na mbichi zitajulikana tu
CCTV camera imewaonyesha mambumbu wanang'oa viti kama walivyozoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…