Mkao huu kwa wanaume unaashiria nini?

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Posts
47,706
Reaction score
69,281
Mwanaume na mwanamke ambao wako kwenye mahusiano wakikaa hivi ni jambo la kawaida sana,jee kwa wanaume tupu miguu kuingiliana hivi inaashiria nini? Halafu huyu mmoja anamuangalia mwenzake kwa matamanio makubwa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwa hali halisi ni kwamba kuna mtafunaji na mtafunwaji[emoji39]
Hapo mmoja wapo ni "biriani"[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Na mwanaume anaeulizia mkao wa mwanaume mwenzie anaashiria nini??
Anachukia na kulaani mambo ya usodoma, vipi wewe ni mdau? Kama ndiyo ulaaiwe wewe na uzao wako wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…