SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mwanaume na mwanamke ambao wako kwenye mahusiano wakikaa hivi ni jambo la kawaida sana,jee kwa wanaume tupu miguu kuingiliana hivi inaashiria nini? Halafu huyu mmoja anamuangalia mwenzake kwa matamanio makubwa.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app