Mkumbavana
Member
- Jan 24, 2012
- 79
- 22
Umeongea vema, lakini point of correction:
Kwa kawaida Mimba ya kawaida hukua kwa muda wa siku 280, au wiki 40, miezi tisa ya kalenda. (+ / - two weeks)
Tunahesabu mimba kuanzia siku ya kwanza ya kuingia mwezini kwa mara ya mwisho. Kwahiyo, mimba yenyewe inaanza mwanzo wa wiki ya tatu baada ya kuona siku zako
Kwakweli nashukuru sana kwa kunielimisha ila bado nina swali kizazi cha mwanamke kimeishia chini ya kitovu inakuwaje tumbo la mama mjamzito linakua kubwa/linajaa mpaka karibu na matiti?