Mkumbavana
Member
- Jan 24, 2012
- 79
- 22
Habarini madokta na member wengine wote, jamani nakiri kuwa sijui na ningependa kujua na chaguo langu la kwanza la kunielimisha limekua jf, najua humu kuna madaktari bigwa na member wenye ujuzi na picha, naombeni mnielimishe ukuaji wa mtoto tumboni, anakaaje na anageuka wakati gani, mngeniwekea na picha ningeshukuru sana, AHSANTENI