Mkapa 2017: Kama waliotutangulia hawakutukanya tulipokosea basi ni dhambi ambayo hatupaswi kuirudia Kwa Magufuli anapoenda nje ya mstari

Mkapa 2017: Kama waliotutangulia hawakutukanya tulipokosea basi ni dhambi ambayo hatupaswi kuirudia Kwa Magufuli anapoenda nje ya mstari

britanicca kama umeamua kuandika humu. Uwe mtu huru sio wa kulaumu upande Mmoja. Maandiko haya yatatumika kama kumbukumbu kwa ajiri ya vizazi vijavyo.

Ninachikiona hapa kwa jicho la ndani ni chuki zidi ya marehemu.

Pale alipotaka kupanyoosha mliona anawaonea.

Imajini mtu ni katibu wa CCM lakini anamiliki mahera kibao, imeyapata wapi?. Kwa kazi ipi?.

Hapo ndo maana Raia wengi hawawezi kukubari Magufuli achafuliwe.

Nakushauri, weka mambo sawia.

Magufuli alishinda kwenye mambo mengi na hakuna wa kumchafua Tena, isipokuwa mtajifurasha tu.

Anza na point namba tatu, Ni akina nani walikuwa wamejimirikisha mali za chama zikiwemo Chennel Ten?

Nchi mtaigawana hii
 
Hiyo ya Hospital Magufuli Mbona Kama aliiomba mwenyewe alipokuwa Waziri Kwa wakorea, Lakin nadhani haikuwa ya Moyo ilikuwa ya Hadhi ya Juu mwishowe ikajengwa chini ya Kiwango, maana tender alimpa Mdogo wake Mayeye Magufuli wakala wote pesa
Aligombana Lakin kiwango mi tofauti
 
Hiyo ya Hospital Magufuli Mbona Kama aliiomba mwenyewe alipokuwa Waziri Kwa wakorea, Lakin nadhani haikuwa ya Moyo ilikuwa ya Hadhi ya Juu mwishowe ikajengwa chini ya Kiwango, maana tender alimpa Mdogo wake Mayeye Magufuli wakala wote pesa
Akina Etwege /Kulwa Jilala wanalijua hili?
 
Back
Top Bottom