Tetesi: Mkapa Anahusika na Sakata la Mchanga


word
 
Reactions: SDG
CCM yote inahusika.........dawa pekee ni kuiweka pembeni, wizi upo kila kona, Katiba mupya ni muhimu sana.
Hapo tutashindwa kabla hata ya kuanza. Wahusika walijificha kwa kivuli cha chama. Chama kinawaumbua tupambane na hao waliotufikisha hapa. Tukumbuke Tanzania inataka kwanza nidhamu ya utumishi wa umma ili hata siasa zikae sawa. Chama dola kitatumia walewale kutawala hata kama ni upinzani
 
Bado wanalindana Mkuu hawa wahuni na mafisadi dhidi ya maovu yao chungu nzima kwa Watanzania miaka nenda miaka rudi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…