Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
".......wangechangamkia tenda vipi wakati enzi hizo kwa kiongozi, hata kufuga kuku ilikuwa ni makosa?..."
Nadhani hapa kidogo kuna chumvi imeongezeka, nafahamu wakuu wa wilaya,mkoa na wana TANU/CCM fulani wa ngazi za kati na juu ambao walikuwa wanafuga kuku ziadi ya elfu na nguruwe kwa wingi tu. Kipindi hicho hata mimi nilishawahi kufika kwao katika harakati za kucheze cheza utotoni.
Waliokuwa wanafuga nguruwe kwa wingi na bado walikuwa na Pick up ambayo ilikuwa iwasaidia kusambaza nyama na kuuza vitoto vya nguruwe kwa wafugaji wengine, halafu walikuwa na shamba kubwa mno. Pia hiyo familia baba alikuwa meneja mkuu wa shirika la serikali na mama alikuwa mkuu wa wilaya au mkoa, hayo nimeyaona kwa macho ingawa nilikuwa mdogo ki umri. Na kwa kifupi ni kuwa hadi leo hii sijawahi ona nguruwe wengi hivyo!
Kama nilivyosema miaka ya TANU/CCM yaani late 70's hadi mwanzoni mwa 80's.Choveki, Tuambie ilikuwa lini hiyo?.
Katika miiko ya TANU ilikuwa ni marufuku kwa kiongozi wa serikali kuwa pia mfanyabiashara. Walikuwa wanaweza kuwa wakulima lakini sio wafanyabiashara.
Kama nilivyosema awali, katika familia mojawapo baba na mama wote walikuwa kwenye system!, Baba General Manager wa SU na mama Mkuu wa mkoa/ wilaya (sikumbuki vizuri)- Ila tetesi ni kuwa baba (mume) alikuwa mwanafunzi wa JKN kule tabora- hivyo alikuwa anagateway na vitu vingi tu, na ndo maana waote walipewa post)Of course hiyo haina maana kama baba ni kiongozi basi mama naye alizuiwa kabisa kufanya biashara yoyote. Ulikuwa unaweza kufanya lakini pia jua ilikuwa lazima usalama wa taifa na watu wengine wa maadili wakupitie mara nyingi kujua umepataje hizo mali.
Nakubaliana nawe, hususan wale waliokuwa na pesa za wizi au dhuluma. Ila wapo wale wachache ambao for some reason pia waliweza ku-gate away withit, na wale walioukuwa na bahati ya kuwa recyled eg: fuatilia mifano ya GAPEX, Kampuni za ushirika za mikoa/wilaya, Tanzania Elimu Supplies, Mawasilaino ya anga nk.Hilo liliwafanya wengi waliokuwa na pesa za ziada kutokuziweka kwenye asset yoyote kwa kuogopa kuulizwa kazipataje
Hilo hata mimi nimeliona, na mwalimu yeye siyo wa kulamiwa, ila ninachotaka kusema ni kuwa hata enzi zake kulikuwa na makosa na kuna victims pia wa makosa yakeMimi ni mpenzi na muumini wa mwalimu lakini pia naelewa hayo mambo yalikuwa yanatokea. Nikiangalia ufisadi wa sasa, wala simlaumu mwalimu kwa hilo
Kwanini viongozi wa siasa tu, mimi nasema pensheni ni kwa kila mtz anayefikisha miaka fulani, mfano 65, siyo chosen few!Labda alichokosea Mwalimu ni kutokuwatengenezea pension viongozi wa siasa sawa na wafanyakazi wengine wa serikali
Ndiyo maana baadhi yetu tumehoji jinsi ambavyo Ben Mkapa anavyolaumiwa ati hajamsaidia huyu bwana!, Au kwanini mbunge wake hamsaidii, Je mimi mzee wangu kijijini amkimbilie nani? Wengi wamesema huyu anaweza kufundisha shule nying tu je kwanini hafanyi hivyo?Tatizo lingine la TZ ni hii pride ambayo wasomi wanakuwa nayo hata pale ambapo hawana kitu. Naamini watu kama akina Mgonja au huyu Mwafongo kuna kazi nyingi sana wanaweza kufanya hata kwasasa, ni kuamua kujishusha na kukubali kazi zilizopo ambazo wana uwezo nazo.
Pesa zitengwe kwa watanzania wote watakapoozeeka, kwani mimi bado naamini asilimia 99 ya waTz ni waaminifu, na ni wengi uzeeni wanahangaika.Hata sasa bado serikali inaweza kutenga japo pesa chache kuwasaidia hawa ndugu zetu ambao walifanya kazi kwa uaminifu wote na sasa wanahangaika.
Kucheka mzee yeyote ni utovu mkubwa wa nidhamu na ukosefu wa maadili, ni jukumu la kila mtanzania kuhakikisha kuwa taifa la kesho wanakuwa na maadili tunayoweza kuringia.Tukishindwa kuwasaidia na badala yake kuwacheka, itakuwa ngumu sana kumshawishi mtu awe mwadilifu, watu wataona afadhali wawe mafisadi lakini wajihakikishie maisha bora uzeeni
Nakubaliana nawe, ila wengi tumesema kuwa kuna kitu ambacho kimefichika hapo, hatuwezi kutoa maamuzi ya maana mpaka tupate picha kamili, na nakubaliana na kumsaidia ila wazee ni wengi wa kusaidiwa na ndiyo maana unatakiwa uwe mkakati wa taifa na siyo wana JF tu, kwa waTz wote siyo waliofanya kazi state house au serikalini tu.Hapa JF tuna watu wa magazeti, kama huyu mzee bado ana uwezo wake, msaidieni japo apate kibarua cha miezi kwenye hiyo sector ya habari.
Kama nilivyosema miaka ya TANU/CCM yaani late 70's hadi mwanzoni mwa 80's.
Sasa ukiwa mkulima hivyo vitu utapeleka wapi kama siyo kuviuza. Na kama nilivyosema hawa walikuwa wafugaji/wakulima. Na nimeeleza hivyo baada ya wachangiaji kusema ati wakati wa JKN viongozi walikuwa hawaruhusiwi kufuga hata kuku (si ndiyo ukulima huo??)
Kama nilivyosema awali, katika familia mojawapo baba na mama wote walikuwa kwenye system!, Baba General Manager wa SU na mama Mkuu wa mkoa/ wilaya (sikumbuki vizuri)- Ila tetesi ni kuwa baba (mume) alikuwa mwanafunzi wa JKN kule tabora- hivyo alikuwa anagateway na vitu vingi tu, na ndo maana waote walipewa post)
Nakubaliana nawe, hususan wale waliokuwa na pesa za wizi au dhuluma. Ila wapo wale wachache ambao for some reason pia waliweza ku-gate away withit, na wale walioukuwa na bahati ya kuwa recyled eg: fuatilia mifano ya GAPEX, Kampuni za ushirika za mikoa/wilaya, Tanzania Elimu Supplies, Mawasilaino ya anga nk.
Hilo hata mimi nimeliona, na mwalimu yeye siyo wa kulamiwa, ila ninachotaka kusema ni kuwa hata enzi zake kulikuwa na makosa na kuna victims pia wa makosa yake
Kwanini viongozi wa siasa tu, mimi nasema pensheni ni kwa kila mtz anayefikisha miaka fulani, mfano 65, siyo chosen few!
Ndiyo maana baadhi yetu tumehoji jinsi ambavyo Ben Mkapa anavyolaumiwa ati hajamsaidia huyu bwana!, Au kwanini mbunge wake hamsaidii, Je mimi mzee wangu kijijini amkimbilie nani? Wengi wamesema huyu anaweza kufundisha shule nying tu je kwanini hafanyi hivyo?
Pesa zitengwe kwa watanzania wote watakapoozeeka, kwani mimi bado naamini asilimia 99 ya waTz ni waaminifu, na ni wengi uzeeni wanahangaika.
Kucheka mzee yeyote ni utovu mkubwa wa nidhamu na ukosefu wa maadili, ni jukumu la kila mtanzania kuhakikisha kuwa taifa la kesho wanakuwa na maadili tunayoweza kuringia.
Nakubaliana nawe, ila wengi tumesema kuwa kuna kitu ambacho kimefichika hapo, hatuwezi kutoa maamuzi ya maana mpaka tupate picha kamili, na nakubaliana na kumsaidia ila wazee ni wengi wa kusaidiwa na ndiyo maana unatakiwa uwe mkakati wa taifa na siyo wana JF tu, kwa waTz wote siyo waliofanya kazi state house au serikalini tu.
tatizo nadhani hawa watu walipokuwa madarakani hawakuchangamkia tenda.. Wangekuwa wajanja wangekuwa wanajitengenezea vitripu, viwarsha, na visemina vya hapa na pale... But I have an idea.. kuna mtu ana contact zake..?
Nikirudi kwenye topic. Kwahiyo Mkapa amege utajiri wake amgawie huyu jamaa?! Just asking!
Watoto wake pia walikatazwa kumsaidia baba yao?
...................Pia inawezekana kuna watu ambao Mwafongo aliwaamini na wakamsaliti. Kama methali moja isemavyo: "Kikulacho kinguoni mwako."
Labda pia aliongopewa na wafanyakazi wenzake, pamoja na ndugu zetu wa usalama - wanaodhani wanaipenda nchi yetu kuliko wananchi wengine - waliotoa ushadi (perhaps concocted evidence against him) na kumharibia maisha....................
.....................Kuna sababu mbali mbali pamoja na wivu, na kupalilia unga - ngano! - zilizowafanya watu fulani kumwandama na kumtosa shimoni, kiasi cha kwamba imemlazimu aishi maisha hayo ya umasikini na taabu nyingi sana........................................
..............................Lakini wengi wao have been rehabilitated, includidng those who tried to overthrow the government. So why not him Mwafongo?
I wonder why.
Alifanya nini? Makosa gani? Na ni miaka mingi imepita tangu alipotupiliwa mbali, and he's still on the leash, like a dog, obviously allowed to go nowhere...................................
...........................................................................Pia napenda kusisitiza kwamba kila nchi inahitaji intelligence officers na security agencies. Case closed! Whether you like it or not. Tatizo ni wakati wanapoongopa kuwaharibia maisha watu fulani bila sababu.................................................................................................
...........................Sababu haikuwa ukabila. Marehemu Mdee hakuwa na ukabila hata kidogo. Hata Mwakipunda, alpoondolewa, hakulalamika na kusema kwamba ameachishwa au amefukuzwa kazi kwa sababu ya ukabila.....................................................