Aliitaka baada ya kutoka madarakani,samia aliitaka katiba mpya kabla ajaingia madarakani.Mbona na yeye hakutaka tume huru ya uchaguzi wala katiba mpya?
Mkuu niruhusu nikutaarifu kuwa vyama vingi vilikuwepo hata kabla na baada ya uhuru rejea uchaguzi wa kwanza 1958Hata kabla ya vyama vingi hakukuwa na tolerance wala inclusion.
Nyerere aliwafunga watu kisiasa, kina Kassanga Tumbo na Kassella Bantu.
Ni watu wa hovyo woteAliitaka baada ya kutoka madarakani,samia aliitaka katiba mpya kabla ajaingia madarakani.
Sababu ya kufutwa mfumo wa vyama vingi kipindi hicho ilikuwa ni Nini mkuu? Na kwanini aliyeshiriki kufuta ndo akawa mbele pia kuhamasisha virudi 1992?Mkuu niruhusu nikutaarifu kuwa vyama vingi vilikuwepo hata kabla na baada ya uhuru rejea uchaguzi wa kwanza 1958
Soma hiyo makala ya Mkapa utaelewa vizuri zaidi- ila ilikuwa ni lazima ili kujenga utaifa- Nation building.Sababu ya kufutwa mfumo wa vyama vingi kipindi hicho ilikuwa ni Nini mkuu? Na kwanini aliyeshiriki kufuta ndo akawa mbele pia kuhamasisha virudi 1992?
Kwani utaifa unajengwa kwa kuwa na mfumo wa chama kimoja tu?Soma hiyo makala ya Mkapa utaelewa vizuri zaidi- ila ilikuwa ni lazima ili kujenga utaifa- Nation building.
Kuna kitabu fulani alikuwa anajibu maswali ya mwandishi mmoja wa SA 1994/95 kinaitwa BUILDING A VISION kama sijakosea mule kaongea nondo sana ila alivyoingia madarakani alichokifanya. [emoji23][emoji23][emoji23] Mungu amrehemu tu kwakweliNi kweli kwa maana kuandika anaandika pekee yake lakini kutawala alitawala na wengi- lazima tofauti iwepo
Fafanua tafadhari mkuu?Ndiyo
Alafu unaweza shangaa hata huyu mama siku akistaafu atakuja kusema katiba ni muhimu kwa maendeleo ya nchiKuna kitabu fulani alikuwa anajibu maswali ya mwandishi mmoja wa SA 1994/95 kinaitwa BUILDING A VISION kama sijakosea mule kaongea nondo sana ila alivyoingia madarakani alichokifanya. [emoji23][emoji23][emoji23] Mungu amrehemu tu kwakweli
Unaweza kufikiri unanitaarifu, lakini taarifa hizo ninazo.Mkuu niruhusu nikutaarifu kuwa vyama vingi vilikuwepo hata kabla na baada ya uhuru rejea uchaguzi wa kwanza 1958
Asante kwa PDF nitapata kitu cha kusoma.Unaweza kufikiri unanitaarifu, lakini taarifa hizo ninazo.
Kwa mfano.Nimesoma "Building A Peaceful Nation: Julius Nyerere and The Building of a Sovereign Tanzania 1961-1964"
Nimekiweka hapo chini kwa wanaotaka kusoma zaidi.
Kwa hivyo, hili si jambo ulilonitaarifu wewe.
Ninachokuambia mimi ni kwamba, hata kabla ya vyama vingi kuruhusiwa 1992, hakukuwa na inclusion wala tolerance. Na zaidi, hata kwenye vyama vingi kabla ya 1964, hakukuwa na tolerance wala inclusion.
Tangu mkoloni aondoke hatujawahi kuwa na tolerance wala inclusion. Kuna siasa tu zinazotumia dhana za tolerance na inclusion.