Elections 2010 Mkapa, Mwinyi wako Zanzibar -- UCHAKACHUAJI HUOOOOO!!!

Elections 2010 Mkapa, Mwinyi wako Zanzibar -- UCHAKACHUAJI HUOOOOO!!!

Status
Not open for further replies.

werawera

Senior Member
Joined
Oct 5, 2010
Posts
138
Reaction score
41
wanaenda zanzibar kufanya nini kama si kuleta vurumai. jamani amani inataka kutoweka. Uwiiiii Uwiiiii. Tupige mayowe mpaka mafisadi tuwatoe.
 
Tupatie source ya hizo information km kweli wameenda huko. lakini si waliyataka wenyewe sasa nini tena?
 
watu walioko bwawani wamesema hayo kisha vurugu zikaanza
 
Mzalendo . net wameripoti kuwa hawa jamaa wameingia jana usiku sijui wameenda kufanya nini huko?
 
Hivi wanafuata nini??????????????????? maana hata jk yupo Mwanza kaingia kisirisiri usiku!!!!!!! Hawaoni hata hayaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Zanzibar sio walaini kama wa bara.
Lazma patachimbika tu.
 
Labda waeenda kuwaambia CCM kuwa wasiwadhulumu CUF haki yao damu zitamwagika bure
 
Mfa maji haishi kutapatapa.... naona wanahangaika kutaka kuiokoa ccm ambayo wameichimbia kaburi wenyewe
 
Mwinyi ndio maana walimnasa kibao..mzee mnafiki sana yule.
 
Wao waheshimu sauti za wananchi, na si mslahi yao!!!

Chupi hazitoshi eeh!!!
 
kwa nini matokeo yanacheleweshwa kutolewa wanataka leta vurugu jamani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom